BBC: Shehena ya makombora 1,500 ya Kutungulia ndege aina Strela na Bunduki 100 MG3 zimewasili nchini Ukraine

Una uhakika haina mpinzani? Watu wanahifadhi mashine ghalani kwao mkuu.
Kwani zile silaha zilizotunguliwa mwanzoni walizihifadhi uwanjani!?? Tena ghala lipo chini y ardhi na watu wakalifumua ghala pamoja na silaha zake
 
Putin kwisha wanaume wameaza kujibu yeye akiwa amechoka na kishafahamika kwakilakitu.
... kuna mgari wake wa deraya saa hizi uko njiani kupelekwa Ujerumani kabla ya kwenda Marekani kufanyiwa uchunguzi wa kina baada ya kutekwa kwenye uwanja wa mapambano; utapekuliwa kila idara; codes zote hata ziwe ngumu namna gani unazofikiria wewe zitakuwa decoded.

Unaaminika kubeba siri zote za jeshi la Russia; ni kati ya mamitambo yaliyokuwa yanawindwa kwa udi na uvumba Putin kauza nchi; Kremlin kazi ipo kuna majenerali watanyongana!
 
Chai na kahawa........siri zote za jeshi ziwekwe kwenyw gari moja..........propaganda
 
... huo mgari ni kati ya vifaa vya kijeshi vilivyokuwa vinalindwa zaidi duniani na ulikuwa unawindwa na western kuliko chochote kile. Let's wait and see.
 
Hizo strella (MANPADS) haziwezi kutungua hata sukhoi. Zipo highly effective kutungua ndege zinazopita katika low altitude tu. Sema wakitumia kama ATGMs kuwinda vifaru vya urusi yatawasaidia sana
 
... huo mgari ni kati ya vifaa vya kijeshi vilivyokuwa vinalindwa zaidi duniani na ulikuwa unawindwa na western kuliko chochote kile. Let's wait and see.
We danganya mazuzu wenzio..........kama ni asset muhimu kiasi hiko haiwezi pelekwa kizembe hivyo vitani........tena eneo ambalo mambo yakibuma inaweza ikachukuliwa
 
... isingekuwa asset muhimu isingepelekwa kote huko kwa uchunguzi zaidi. Washington wamethibitisha ni asset muhimu anatokea mrusi wa Buza anadai sio muhimu; ajabu sana.
 
Kwahio wamekubali kua kwenye hio teknolojia wameachwa mbaaali sana kwahio wameshaokota desa la kwenda kukariri sio mmarekani wa kwa mpalange?
 
... uko sahihi ewe mrusi wa Buza ndio maana fashisti kakimbia uwanja wa mapambano siri zote nje.
 
Kama kwenu hizo ni siri basi kuna siri zaidi ya hizo......endeleeni kusaka madesa ya mrusi awafunze vizuri. ......ndo maana hata haogopi kuuza mitambo yake kwa nchi hasimu...kama mturuki kauziwa s400 na ni mwanachama wa Nato.....mmarekani kuuza tu f35 kwa mturuki Nato mwenzie kaogopa kisa mturuki ana f35 anaogopa desa lake litasomwa......mrusi hana woga huo sababu anajua kipindi utakapojua maarifa haya leo, yeye tayari atakua ameshapiga hatua yupo kwngne
 
We danganya mazuzu wenzio..........kama ni asset muhimu kiasi hiko haiwezi pelekwa kizembe hivyo vitani........tena eneo ambalo mambo yakibuma inaweza ikachukuliwa
Hilo Mana yake nikitakiwa kulipuliwa baada ya kutekwa inaonesha majenero wali sabotage mfano marekani wagunduapo kifaa Chao muhimu kimedondoshwa hukulilipua kubaki majivu na majivu huzolewa ,ngoja tuone
 
Kama kwenu hizo ni siri basi kuna siri zaidi ya hizo......endeleeni kusaka madesa ya mrusi awafunze vizuri. ......ndo maana hata haogopi kuuza mitambo yake kwa nchi hasimu...kama mturuki kauziwa s400 na ni mwanachama wa Nato.....mmarekani kuuza tu f35 kwa mturuki Nato mwenzie kaogopa kisa mturuki ana f35 anaogopa desa lake litasomwa......mrusi hana woga huo sababu anajua kipindi utakapojua maarifa haya leo, yeye tayari atakua ameshapiga hatua yupo kwngne
... zidumu fikra sahihi za mwenyekiti fashisti Putin rais wa maisha wa Russia.
 
Hilo Mana yake nikitakiwa kulipuliwa baada ya kutekwa inaonesha majenero wali sabotage mfano marekani wagunduapo kifaa Chao muhimu kimedondoshwa hukulilipua kubaki majivu na majivu huzolewa ,ngoja tuone
Hio sytem ina part 2 na part iliyobaki haina uwezo wowote wa kufanya kazi bila nyingine.......ili hio system iweze kufanya kazi ni lazima part zote 2 ziwepo.....kwa mazingira ilivyoachwa ingekua ni sensitive hivyo wangeilipua tu..................hilo lidude wanalibeba ila bado pia wanajiuliza kwanini mrusi kaiacha hapo yasije yakawa mambo ya nidukue nikudukue.............hao wameipata command post ila part ya electronic warfare haikuwepo
Screenshot_20220327-110136_Samsung Internet.jpg
Screenshot_20220327-110247_Samsung Internet.jpg
 
... Urusi amekwama wapi kuuwahi msafara akaulipua kabla ya kuwasili yanakopelekwa? Satelaiti zao hazijauona?
Malori yalikuwa na nembo za UNHCR hivyo ingetokea angepiga wangesema mengi yeye anawasubiri uwanjani
 
Back
Top Bottom