HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 70,791
- 98,334
Ndo mshangao huo... Urusi amekwama wapi kuuwahi msafara akaulipua kabla ya kuwasili yanakopelekwa? Satelaiti zao hazijauona?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndo mshangao huo... Urusi amekwama wapi kuuwahi msafara akaulipua kabla ya kuwasili yanakopelekwa? Satelaiti zao hazijauona?
Ule mtambo ulisababisha Ukraine akaumia... kuna mgari wake wa deraya saa hizi uko njiani kupelekwa Ujerumani kabla ya kwenda Marekani kufanyiwa uchunguzi wa kina baada ya kutekwa kwenye uwanja wa mapambano; utapekuliwa kila idara; codes zote hata ziwe ngumu namna gani unazofikiria wewe zitakuwa decoded.
Unaaminika kubeba siri zote za jeshi la Russia; ni kati ya mamitambo yaliyokuwa yanawindwa kwa udi na uvumba Putin kauza nchi; Kremlin kazi ipo kuna majenerali watanyongana!
Kwamba wewe mjuaji kulikoHizo strella (MANPADS) haziwezi kutungua hata sukhoi. Zipo highly effective kutungua ndege zinazopita katika low altitude tu. Sema wakitumia kama ATGMs kuwinda vifaru vya urusi yatawasaidia sana
Hivi unajua ulichoweka ni tofauti na ukichokiandikaHio sytem ina part 2 na part iliyobaki haina uwezo wowote wa kufanya kazi bila nyingine.......ili hio system iweze kufanya kazi ni lazima part zote 2 ziwepo.....kwa mazingira ilivyoachwa ingekua ni sensitive hivyo wangeilipua tu..................hilo lidude wanalibeba ila bado pia wanajiuliza kwanini mrusi kaiacha hapo yasije yakawa mambo ya nidukue nikudukue.............hao wameipata command post ila part ya electronic warfare haikuwepoView attachment 2165745View attachment 2165746
Kuku wa kwako umchinjie njian ya nini?... Urusi amekwama wapi kuuwahi msafara akaulipua kabla ya kuwasili yanakopelekwa? Satelaiti zao hazijauona?
Ndiyo Hata Mimi Nimeshangaa. Watu Husema Super Power Wa Mchongo... Urusi amekwama wapi kuuwahi msafara akaulipua kabla ya kuwasili yanakopelekwa? Satelaiti zao hazijauona?