BBC: Shehena ya makombora 1,500 ya Kutungulia ndege aina Strela na Bunduki 100 MG3 zimewasili nchini Ukraine

Ule mtambo ulisababisha Ukraine akaumia
 
Hizo strella (MANPADS) haziwezi kutungua hata sukhoi. Zipo highly effective kutungua ndege zinazopita katika low altitude tu. Sema wakitumia kama ATGMs kuwinda vifaru vya urusi yatawasaidia sana
Kwamba wewe mjuaji kuliko
 
Hivi unajua ulichoweka ni tofauti na ukichokiandika
 
... Urusi amekwama wapi kuuwahi msafara akaulipua kabla ya kuwasili yanakopelekwa? Satelaiti zao hazijauona?
Ndiyo Hata Mimi Nimeshangaa. Watu Husema Super Power Wa Mchongo
Yaani Russia Atavuliwa Nguo Mchana Kweupe Kuku Wanaona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…