Al Watani
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 21,237
- 31,811
Unapoyageuza matako kuwa mbadala wa kichwa inakuwa tabu sana kwa watu wengine pindi unapoongea.You are talking about sheria za kimataifa?! Unataka nilete humu ile video ya wazungu wa Lissu akiwemo Amsterdam na wenzake walichopanga dhidi ya Tanzania...wamepanga kuchochea maandamano na mauaji ili vurugu zitokee na kinachoitwa jumuiya ya kimataifa iitishe mkutano wa usuluhishi na Lissu...wazungu hao wanasema na kuropoka bila aibu kwamba ni lazima damu imwagike Tanzania...kuchomwa kwa ofisi za chadema ni miongoni mwa mikakati hiyo...
Hata kama hamuwapendi watanzania mwogopeni Mungu