Uchaguzi 2020 BBC Swahili wamesema kwenye makubaliano yetu na kampuni ya uchimbaji madini ya Barrick kwenye zile asilimia ni kama tumepigwa

You are talking about sheria za kimataifa?! Unataka nilete humu ile video ya wazungu wa Lissu akiwemo Amsterdam na wenzake walichopanga dhidi ya Tanzania...wamepanga kuchochea maandamano na mauaji ili vurugu zitokee na kinachoitwa jumuiya ya kimataifa iitishe mkutano wa usuluhishi na Lissu...wazungu hao wanasema na kuropoka bila aibu kwamba ni lazima damu imwagike Tanzania...kuchomwa kwa ofisi za chadema ni miongoni mwa mikakati hiyo...
Unapoyageuza matako kuwa mbadala wa kichwa inakuwa tabu sana kwa watu wengine pindi unapoongea.

Hata kama hamuwapendi watanzania mwogopeni Mungu
 
Wakuu Jana niliangalia BBC Swahili, wamesema kwenye makubaliano yetu na kampuni ya uchimbaji madini ya Barrick kwenye zile asilimia ni kama tumepigwa, hivi hiki chombo cha habari cha mabeberu kinatutafutia nini?

Siri iliyotawala yale mazungumzo ilionesha kabisa sisi ndo tumeshika makali while Barrick wakiwa wameshika mpini
 
Unapoyageuza matako kuwa mbadala wa kichwa inakuwa tabu sana kwa watu wengine pindi unapoongea.

Hata kama hamuwapendi watanzania mwogopeni Mungu
Anza Kwanza kumwambia baba yako aliyekuzaa kuwa baba unageuza matako yako kuwa mbadala wa kichwa...majibu yake yaani majibu ya baba yako uje utuambie humu jf..halafu unaweza ukaongeza kwa kusema kuwa naona baba umeniambukiza kwani naona akili yangu imenituma kufikiria matako Kila wakati
 
You are talking about sheria za kimataifa?! Unataka nilete humu ile video ya wazungu wa Lissu akiwemo Amsterdam na wenzake walichopanga dhidi ya Tanzania...wamepanga kuchochea maandamano na mauaji ili vurugu zitokee na kinachoitwa jumuiya ya kimataifa iitishe mkutano wa usuluhishi na Lissu...wazungu hao wanasema na kuropoka bila aibu kwamba ni lazima damu imwagike Tanzania...kuchomwa kwa ofisi za chadema ni miongoni mwa mikakati hiyo...
Bangi tu zinawasumbua hamna lolote.
 
Anza Kwanza kumwambia baba yako aliyekuzaa kuwa baba unageuza matako yako kuwa mbadala wa kichwa...majibu yake yaani majibu ya baba yako uje utuambie humu jf..halafu unaweza ukaongeza kwa kusema kuwa naona baba umeniambukiza kwani naona akili yangu imenituma kufikiria matako Kila wakati
Ulivyo mpumbavu unadhani kuna mtanzania anaweza kukubaliana na huu upumbavu wenu ?

Jaribuni kuwa na utu hata kidogo, matumizi mabaya ya akili ( ambazo nina wasiwasi kama unazo walau kidogo ) ni kejeli kwa Mungu aliyekupa hizo akili
 
Mambo mengi yaliyoanishwa kwenye hii 50/50 economic ni mambo yanayofall kwenye corporate social responsibility tu.

Bado unaniacha mkuu. So kwenye corporate social responsibility ndo wanagawana faida ya 50/50??
 
Nikiweka hapa itakuwa issue kubwa mno...binafsi nimeiangalia ile video nikashangaa na kuogopa namna wazungu wale walivyoandaa mipango...yaani bila hata aibu wanataka watu wafe Tanzania ili iwe vurugu kubwa ...

Daah acha kabisa mkuu, kuna yule mmoja sijui anaitwa Atknson sijui kama nimepatia jina lake, jamaa ameonyesha chuki ya wazi wazi kabisa. Bora wenzake walikuwa wanazungumza kwa kuficha ficha na kuengemea kwenye maswala ya binadamu. Sio vyema kuiweka hapa mkuu, watu wataisambaza alafu lengo lao hawa mabeberu litatimia
 
Mkuu nitakujibu huja zako zote ngoja wenzangu watangulie kwanza. Kwenye hili Raisi amepambana haswa tuache kubeza..

Hata ile kuyazuia kwa muda makinikia japo yalikuja kuendelea kutoka, ilitosha kuwatia presha barrick na kuwaleta kwenye makubaliano mapya bila kuathirika na mikataba tuliyosaini kimakosa huko nyuma.

Kuhusu smelter nadhani hizo zilikuwa hoja za kuwapa hope wanachi na kuwafanya kuwa positive katika kile tunajaribu kufanya. Hata unapofungua biashara yoyote nadhani kuna hopes unakuwa nazo na hata kuziandika kabisa katika strategic plan japo kuna uwezekano usizifikie labda mpaka baada ya muda mrefu.
Hapa mkuu nimekuelewa,Ila mkuu mimi kwa ushauri wangu tu naona mikataba kama hii haifai kufichwa wananchi wasiione,inabidi mikataba kama hii imepelekwe bungeni ijadiliwe tena ikibidi wananchi waione iwe kwa kiswahili,huko mwanzo tulikuwa tunalalamika tunaibiwa kwenye mikataba kwa ajili ya usiri wa namna hii,Sasa tena tunaona mambo yanakuwa yale yale mikataba ya madini inakuwa siri tena mpaka BBC watufungue macho,unadhani kwa ile taarifa ya jana ni watu wangapi wasio na uelewa kama wewe wameiamini mkuu?Ila kama tungekuwa tumeshaambiwa jinsi mkataba ulivyo kabla,hata ile taarifa ya jana tungeiona ni uchochezi tu mkuu.Mimi ni muumini wa mikataba yote tunayoingia kama nchi inabidi ipelekwe bungeni ikajadiliwe na sisi wenye nchi tueleshwe kilichomo tena kwa lugha yetu ya kiswahili,sijui wewe mkuu kama ni muumini wa mikataba iwekwe wazi kama mimi?Rais wetu amepambana vizuri sana kuhusu madini lakini tumeambiwa kama ukiona uovu uukemee na kama ukiona unashindwa kuukemea hadharani basi sikitika hata moyoni tu.
 
Wakuu mada nzuri, lakini mbona mmeanza kutukanana tena?sio vizuri jamani
 
Mkuu nakuelewa pia, tatizo kwenye hili ni kuwa kuna watanzania wenzetu sio waaminifu kama Tundu, tukiweka wazi wakaiona wataanza kuwaambia mabeberu mapungufu yaliyopo kwenye mikataba. Si unajua huwezi kuwa perfect kwenye kila kitu..there might be a place iliyoachwa loophole kwa makosa ikatumika vibaya against us.
 
Ulivyo mpumbavu unadhani kuna mtanzania anaweza kukubaliana na huu upumbavu wenu ?

Jaribuni kuwa na utu hata kidogo, matumizi mabaya ya akili ( ambazo nina wasiwasi kama unazo walau kidogo ) ni kejeli kwa Mungu aliyekupa hizo akili
Wewe unayeshabikia vurugu na vifo vya watanzania wenzako hivi kweli una akili?!
 
Wanaoteka na kuua watanzania wenzenu ili mpate madaraka si ndiyo nyinyi wenyewe ??

Msitufanye sisi watanzania kama wajinga
 
Utasubiri sana.
Halafu mkuu nikushauri, hujui unachosimamia! Naon unaandika vurugu vurugu tuu na umejiunga if miezi kadhaa iliyopita! Tuliza akili uwe unatoa michango ya maana humu. Picha ya mtu uliyoweka itendee haki ama sivyo itoe uweke nazi!
 
Nahisi umechanganya ma file,
Umri wa hii Id nakushauri uachane nao, sawa MATAGA ?
 
Back
Top Bottom