Freed Freed
JF-Expert Member
- Jun 27, 2017
- 6,547
- 7,167
Mimi sijui, tuambie weweUkisikia uimara wa jeshi unaelewa nini?
Unajua Mimi nazidi kubishana na weweBelieve me, tunajifariji tunapojisifiaga kuwa jeshi letu ni miongoni mwa majeshi yenye nguvu Afrika. Jeshi letu lacks professionalism, liko kisiasa sana. Basi tu watu wengi hawajui kuhusu madudu ya hili jeshi...
Hawakutoa. Wameanza USA, China, Russia, France 9. Uturuki na n 10 ujerumani.Rwanda ya ngapi?
Wanasema kambi za jeshi za Congo DRC zina wanajeshi 134000. Wanaangalia pia idadi, vifaa, bajeti nkHawa DRC ambao SADC yote imebidi ikawasaidie kudhibiti vikundi vya uasi ndo wanasemwa wana jeshi imara haya ni maajabu.
Ila jeshi letu kuwa nafasi hiyo sipingi.
Wingi wa waaasi wanaojiunga na jeshi kisa maridhiano, ndiyo kumeipaisha Congo DRC. Hata hivyo wanasema hawana vifaa na wanaonewa na mataifa jirani. Double standard tupu!!! Sasa na 10 ya wapi?Niliachana na elimu, tafiti za kizungu tangu nijue kusoma na kuandika.
Inabidi DRC waje kutrain jeshi letu. [emoji23][emoji23][emoji23]
sasa mbona wanashindwa kudhibiti waasi hadi tukawasaidie, ukute hadi wanajeshi wetu wamehesabiwa huko.Wanasema kambi za jeshi za Congo DRC zina wanajeshi 134000. Wanaangalia pia idadi, vifaa, bajeti nk
Usikubali kulishwa propaganda za wanasiasa na viongozi. Jeshi letu hakuna kitu pale.Unajua Mimi nazidi kubishana na wewe