BBC waendeleza ubeberu: Eti Tanzania nchi ya 23 kijeshi Afrika, Uganda ya 14 na Kenya ya 12

Kabla haujabisha angalia na vigezo walivyoweka..., labda ni bajeti inayoenda kwenye Jeshi, Number ya Wanajeshi, Vifaa n.k.

Anyway karne hii ya Adui Mazingira taanza kuona faida ya Jeshi iwapo in times of peace hao wanajeshi wangeingia field kupambania Uchumi (Tokomeza Umasikini)
 
kwa Mataifa yanayotengeneza Silaha zao wenyewe ni kweli kabisa.
Ila kwa Mataifa yanayonunua Silaha, ni rahisi kujua; Idadi ya silaha zilizonunuliwa kwa kipindi cha Mwaka hadi Miaka kumi, Idadi ya Askari, Idadi ya reserve hivyo Kenya na Uganda zipo mbele kwa sababu ya Ununuzi wa silaha , Mafunzo, tusisahau Uganda ana latest SU 30 jet fighter sisi hatuna hata moja, navy wa Kenya wapo na New Military ship sisi hatuna
 
USA kulinda amani afghanistan!
 
Ni nyie msiotaka kukosolewa hata kama wa 100 mnataka mwaambiwe wa kwanza, kulingana na weledi wa kitanzania🏃.
 
Pia ni la kizamani kimuundo...hata PK anatuzidi.
 
Mdau, hebu tuka test mitambo pale kwa marehemu Nkuru. Huenda tutapangiwa nafasi sahihi
 
Tanzania imepigana vita hivyo inajua namna ya kuficha taarifa zake nyeti.

Katika modern world kwa hapa Afrika Tanzania ndio nchi pekee iliyopigana vita na kuingia nchi nyingine na kuweka utawala wake.
 
Sasa mkuu ulitaka tuwe namba ngapi na wakati hata hatupigani
 
Husiamini kila kitu mkuu, hata mimi niliambiwa kielimu siwezi kufika mbali
 

leta fact
 

Ukitaka kuamini kuwa jeshi letu ni bora ndio maana Nchi za jirani huleta wanajeshi wao Tanzania kupata mafunzo zaidi mfano TMA
 
Ukitaka kuamini kuwa jeshi letu ni bora ndio maana Nchi za jirani huleta wanajeshi wao Tanzania kupata mafunzo zaidi mfano TMA
Hayo ni mambo ya kidiplomasia tu hata wanajeshi wa Tanzania wanaenda nchi rafiki kupata mafunzo kama wanavyofanya nchi nyingine kuleta wanajeshi wao hapa kwetu.
 
Wakurya ndoa walipaisha jeshi letu likawa imara sana mpaka tukamchakaza idd amini!! front line state ni wakurya walikuwa wanarindima na wahehe!! makabiala mengine walikuwa wanogopa kuingia vitani!

sasa hakuna vita nashangaa eti wazaramo pia wanataka jeshi!! mweee! kwa nini tusiwe wa mwisho??? jitahidini mlirudishe kwa wakurya muone!! tena msiwape pesa, wapeni chakula tu!!

wao km wao muwakabidhi CHACHA, MARWA EEE! Chesi la africa hili hapa mura tunakupa bure! fanya utakavyo!! waasi wote vibaraka wa africa wanakamatwa faster

mkiweza muingie kongo!! changanya,tutsi, na wazulu plus kurya. nakwambia africa yoooteina nyooka vita itaisha! simjaribu muone?
 
Kwa criteria wanazotumia sisi wadogo kweli hakuna la kubisha hapo,
Wana angalia budget na size ya jeshi ku rank..
Mambo ya kupigana nan atapigwa au nan atampiga mwenzie hayapo hapo.
Wanasema kambi za jeshi za Congo DRC zina wanajeshi 134000. Wanaangalia pia idadi, vifaa, bajeti nk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…