Tofautisha jeshi la kulinda amani, na vita. Marekani haijawai kuwa na Vita na Afghanistan, bali walikuwa walinda Amani dhidi ya Wataliban. Kama ilivyo jeshi la Tanzania DRC Congo, Ilivyokuwa Msumbiji na Kwingineko. Lakini Ethiopia na Eritrea zilikuwa na vita ya kupigania eneo.
Si kulinda amani.
Jeshi la Tanzania lilipelekwa Libya kulinda Amani. Kuna muda walivamiwa baadhi waliuwawa hata huko Congo. Nilikuwa najiuliza zamani kwa nini Tanzania tusipeleke jeshi likawashambulia? Nilikuwa bado mjinga, ndo nikaelimishwa tupo kulinda amani si vita japo majeshi ya waasi mara nyingi ufanya makusudi kuvamia majeshi ya kulinda amani.
Marekani nayo huko walivamiwa na Taliban wakauwawa baadhi ya askari. Unadhani ni kwanini Marekani aikupeleka jeshi na vifaa kuwafutilia mbali wataliban. Marekani haikuwa kwenye vita bali kulinda Amani. Ndo maana iliamua kuondoa majeshi yake Afghanistan. Hata wanapoondoa watu wao Taliban waliheshimu. Haikuwa vita ndugu yangu. Ha ha ha ha!
Tujue kutofautisha kulinda amani na Vita. Na ulindaji amani unasheria zake.