Fursakibao
JF-Expert Member
- Dec 12, 2017
- 6,813
- 11,540
Kikundi gani kwa mfano?Na bado wanasumbuliwa na vikundi vya wapiganaji ndani ya nchi yao...!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kikundi gani kwa mfano?Na bado wanasumbuliwa na vikundi vya wapiganaji ndani ya nchi yao...!
Uko sawa kabisa mkuu,jeshi gani linashabikia chama cha kipumbavu kama CCM? JWTZ ni Tawi la CCM siyo jeshi imara kabisaBelieve me, tunajifariji tunapojisifiaga kuwa jeshi letu ni miongoni mwa majeshi yenye nguvu Afrika. Jeshi letu lacks professionalism, liko kisiasa sana. Basi tu watu wengi hawajui kuhusu madudu ya hili jeshi.
Nyerere alishawahi sema kuwa jeshi letu ni the most politicized institution in Tanzania, tena walilifanya liwe hivyo kwa makusudi kabisa. Mpaka leo liko hivyo, halijabadilika.
We have a weak army. Anaebisha basi haijui vizuri JWTZ.
Kumbe tunadanganywa?hii siyo ajabu ndugu yangu.kwani mbona tunaambiwa Tanzania ni kisiwa cha amani lakini ni jambo la kushangaza kwenye listi ya nchi 50 zenye amani dunianiTanzania haipo .Tuendelee kuishi kwa matumaini
Kenya no doubts, hakuna nguvu za kijeshi bila uchumi imaraBBC wa ajabu Sana hawa.
Eti Tanzania ni nchi ya 23 kwa nguvu za kijeshi. Eti Congo DRC ni ya 10. Uganda 14 na Kenya 12.
1. Egypt, 2. Algeria 3. Nigeria 4 south Africa 5. Ethiopia 6. Angola 7. Sudan 8. Morocco 9.Libya na 10 ni Congo DRC.
Maajabu hayaishi duniani. Mbona Libya, Ethiopia, Congo DRC na Nigeria vita kibao na uimara huo wa Majeshi yao?
Source: BBC Swahili news.
Bro safi sana. Leo nilitaka nimtafute mchambuzi anifafanulie ishu ya Tigray bahati mbaya mambo yakawa mengi. Kama hutajali fungua hata uzi tufahamu huo mgogoro wa Tigray ulivyo. Mawazo yangu yananipeleka nidhani mgogoro wa Tigray ni kama wa RohingyaUnajua maana ya utafiti? Ok, moja ya aina ya utafiti ni kujumuika na jamii husika ukaishi nayo na kufanya wafanyao, hii uwezesha kupata kile unachokihitaji kwa urahisi. Kuishi kwangu huku nimekuwa nikifatilia mgogoro huu mkubwa. Nashukuru kuwa nimekutana na watu wakubwa kwa wadogo ambao wamenipa historia hii. Lakini pia nimejionea mwenyewe.
Sijaongelea kujisifia kusafiri duniani. Nimeitaja Ethiopia kuliko na Tatizo na kuwakatalia hao BBC kuwa jeshi la Ethiopia linaudhahifu mkubwa.
Nashangaa wewe umefadhahika na kuanza kudhani tunaongelea kutembea duniani. Ingekuwa hivyo ningetaja nchi zote nilizotembelea lkn nimeongelea Ethiopia kwa sababu nipo huku na ninafanya tafiti kadhaa.
Wewe uzunguke dunia nzima ni maamuzi yako, ila swala hapa ni Ethiopia, nilioiongelea. Usiwe na mawazo ya kujihisi na sishindani nawe kuzunguka dunia. Jikite katika hoja. Utafiti unaruhusu mtu kwenda eneo husika na ukaeleza ulichokiona. Uwezi zuia nisiseme nilichokiona Ethiopia kwa kuwa niko huku. Nimeshuhudia mauaji kwa macho yangu. Nimeshuhudia mateso kwa macho yangu. Ati nisiseme niko Ethiopia. Naeleza nilichokiona. Mada si kuzunguka ulimwengu! Nimeongelea Ethiopia narudia unielewe.
Kivipi?BBC wa ajabu Sana hawa.
Nguvu sio weledi, unaweza kuwa na jeshi kubwa hakuna weledi. Wingi wa vifaa, wingi wa askari hauwezi kufidia ukosefu wa weledi.BBC wa ajabu Sana hawa.
Eti Tanzania ni nchi ya 23 kwa nguvu za kijeshi. Eti Congo DRC ni ya 10. Uganda 14 na Kenya 12.
1. Egypt, 2. Algeria 3. Nigeria 4 south Africa 5. Ethiopia 6. Angola 7. Sudan 8. Morocco 9.Libya na 10 ni Congo DRC.
Maajabu hayaishi duniani. Mbona Libya, Ethiopia, Congo DRC na Nigeria vita kibao na uimara huo wa Majeshi yao?
Source: BBC Swahili news.
Kweli ubeberu mtupu. Ni misinformation. Nimeonda wakongo wakitamba eti nchi yao jeshi imara namba 10. Jeshi la ovyo kama drc rushwa imetawala na majenerali feki wanaotokana na waasi wa maimai na wa kitutsi m23.BBC wa ajabu Sana hawa.
Eti Tanzania ni nchi ya 23 kwa nguvu za kijeshi. Eti Congo DRC ni ya 10. Uganda 14 na Kenya 12.
1. Egypt, 2. Algeria 3. Nigeria 4 south Africa 5. Ethiopia 6. Angola 7. Sudan 8. Morocco 9.Libya na 10 ni Congo DRC.
Maajabu hayaishi duniani. Mbona Libya, Ethiopia, Congo DRC na Nigeria vita kibao na uimara huo wa Majeshi yao?
Source: BBC Swahili news.
Nguvu za jeshi la nchi halipimwi kwa vita ilizoshinda, bali kwa vifaa vya kivita ilivyonavyo. Kama nguvu ya jeshi ingekuwa inapimwa kwa vita ilizoshinda, chna isingekuwa ya pili au tatu, maana zaidi ya vita ya wao kwa wao haijapingana vita yoyote muhimu.BBC wa ajabu Sana hawa.
Eti Tanzania ni nchi ya 23 kwa nguvu za kijeshi. Eti Congo DRC ni ya 10. Uganda 14 na Kenya 12.
1. Egypt, 2. Algeria 3. Nigeria 4 south Africa 5. Ethiopia 6. Angola 7. Sudan 8. Morocco 9.Libya na 10 ni Congo DRC.
Maajabu hayaishi duniani. Mbona Libya, Ethiopia, Congo DRC na Nigeria vita kibao na uimara huo wa Majeshi yao?
Source: BBC Swahili news.
Hapo ndgu yangu umesema uongo. Ungesema police na siasa ningekuunga mkono, lakini siyo jeshi. Ngoja nikimbie kwa daktari mizii, nitaongezea baadaye.You have hit the nail on the head. Huwa najiuliza Sana ikatokea Hamza hamsini wameingia mtaani au kwenye soko Kama la kariakoo itakuaje?
Tigray anaelekea kushindwa,mkuu.Naongea nachokijua, nimeishi Ethiopia miaka, na bado nipo huku. Nafahamu siasa za Ethiopia na mauaji yanayo endelea. Jiulize ni kwanini Ethiopia ilimshindwa Eritrea? Unawajua Tigray wewe? Unajua ni kwanini Waziri ana haha kuwamaliza lakini kashindwa? Jeshi la Ethiopia halimuwezi Mtigray hata siku moja. Ndo maana linaomba msaada toka Eritrea, na majeshi ya Amhara.
Wewe inaonesha hujui vizuri Ethiopia na historia ya wa Tigray. Nchi kadhaa uonesha silaha zake kutaka ufahari si kwamba wanaficha. Marekani uonesha, Korea, China, na zinginezo. Hata hapa majuzi Ethiopia kaonesha siraha zake kuwatisha Tigray, lakini anapokea kichapo haswa. Tigray wameingia hadi Amhara, wamefunga njia ya barabara na reli ya Djibout na Ethiopia. Na sasa wapo Gondar ambao ni mji mkubwa.
Usiongee story tu, hujui mengi ya Ethiopia. na hujui jeshi la Ethiopia? Unajua ni akina nani walikuwa jeshi la Ethiopia, na kwanini sasa jeshi linalegalega? usiongee kitu usichokijua.
Matifa wanayoyaangalia ni yale yaliyofanya biashara ya kununua silaha waziwazi na kumbukumbu zipo wazi lakini Tz Mtindo wake wa ununuzi wa zana za vita upo kisiri sana hivyo hawana takwimuBBC wa ajabu Sana hawa.
Eti Tanzania ni nchi ya 23 kwa nguvu za kijeshi. Eti Congo DRC ni ya 10. Uganda 14 na Kenya 12.
1. Egypt, 2. Algeria 3. Nigeria 4 south Africa 5. Ethiopia 6. Angola 7. Sudan 8. Morocco 9.Libya na 10 ni Congo DRC.
Maajabu hayaishi duniani. Mbona Libya, Ethiopia, Congo DRC na Nigeria vita kibao na uimara huo wa Majeshi yao?
Source: BBC Swahili news.
ni jambo jema kuwa na usiri ktk silaha na mbinu za kivita kwa ujumla.ila naona maonyesho ya majeshi yetu wakati wa sikukuu ya UHURU ni mambo yalopitwa na wakati sana.kwa mfano kuvunja matofali,kubeba mavitu mazito,kutembea kwenye kamba nk.ni vizuri jeshi letu lingejikita kwenye TECHNOLOGIES .siku ya sherehe ya uhuru waje na maonyesho ya TECHNOLOGY,Matifa wanayoyaangalia ni yale yaliyofanya biashara ya kununua silaha waziwazi na kumbukumbu zipo wazi lakini Tz Mtindo wake wa ununuzi wa zana za vita upo kisiri sana hivyo hawana takwimu
Weka hapa link ya hiyo habari, halafu tuwekee hapa utafiti wakoBBC wa ajabu Sana hawa.
Eti Tanzania ni nchi ya 23 kwa nguvu za kijeshi. Eti Congo DRC ni ya 10. Uganda 14 na Kenya 12.
1. Egypt, 2. Algeria 3. Nigeria 4 south Africa 5. Ethiopia 6. Angola 7. Sudan 8. Morocco 9.Libya na 10 ni Congo DRC.
Maajabu hayaishi duniani. Mbona Libya, Ethiopia, Congo DRC na Nigeria vita kibao na uimara huo wa Majeshi yao?
Source: BBC Swahili news.
Mbona mtandao wa GLOBAL FIRE POWER unaonyesha hivyo hivyo, kuwa Tz ni ya 23 kwa nguvu za KIJESHI Afrika?BBC wa ajabu Sana hawa.