Kiongozi wa malaika hatofurahishwa na hii habariBBC wameipongeza JamiiForums kwa kuwa kimbilio la wananchi kupata habari za ukweli na uhakika
Sasa Maxence Melo anahojiwa mubashara kuhusu tuzo anayoipokea nchini Marekani.
Chanzo: BBC Dira ya Dunia
Hongera zake kwa hatua hiyo
Sisi wote tunaifanya jf iwe Sehemu ya Mijadala ya kujenga Taifa
Naunga mkono hoja ,jamii forum wanafuta Sana nyuzi ,komaeni acheni woga achieni nyuzi.Pia Mex apunguze uoga wakutufutia nyuzi zenye mvuto wakisiasa hasa zinazo guza vigogo na mtakatifu, na kuacha za mapenzi kama "kula tunda kimasihara"......... always freedom fighter don't fear death or jail....big up mex...
Ni kweli chombo pekee huru cha habari kilichobaki Tanzania ni JamiiForums.
Ambapo ni vigumu kununulika maana kuna mamia ya watu huru walio member na wageni wanaochangia mada bila hofu yoyote.
Vyombo vingine ama vimenunulika kusifia au vimeamua kujiweka mbali na habari ambazo wanahisi zitawaudhi watawala.
Mfano ni vigumu vyombo vya habari kufanya taarifa za uchunguzi, kuhoji au kukumbushia matukio yanayoiannika serikali kweupe.
Mfano vyombo vya media wataripoti wabunge wa CHADEMA ni watoro Bungeni bila kukumbushia kuwa wamefunguliwa kesi nyingi za utata na utawala wa awamu ya 5 ili wasiweze kuwepo Bungeni kwa muda mrefu.
Lakini JamiiForums habari kama hiyo ya 'watoro' wataongeza na angalizo, historia , video clips ,matamko ya watawala n.k ndiyo yamewafanya wapinzani kuwepo ktk hali ngumu na hatari kisiasa.

Huenda kuna msigano wa kimaslahi ama kuna "makwazo ambayo hayakutarajiwa" katika kuunga juhudi...Kiongozi bado upo ccm?
Umechange ghafla Sana na kuanza kutumia akili kufikiri
Kwa sasa umeanza kuwa mwana taaluma na mtu wa kufanya analysis
Umeuvua uchama, Ni salama huko ccm kweli?
Hapa Jf ulionekana ni mtu ambaye akili yako imeshikwa na umebaki kopo tupu
Ulikuwa mtu uliyekufa kifikra siku nyingi ingawa mwili wako ulikuwa unaishi, umepatwa na nini?