Abul Aaliyah
JF-Expert Member
- Nov 8, 2016
- 7,718
- 5,899
Jamii forum itabaki kuwa juu juu kilelen
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waliohojiwa wamesisitiza kuwa taarifa " zote" zinapatikana Jf!
Kwani Jf ni wanasiasa?Magu na lile genge lake la kijani huko waliko watakuwa wameumia sana kusikia hizi habari.
Sasa hivi utasikia JF ni wakwepa kodi na wahujumu uchumi, genge la mabeberu nk.
Wamiliki wake watakamatwa na watachakaa kwa kukaa rumande. Kama huamini wewe subiri tu.
Haina kufeliBBC wameipongeza JamiiForums kwa kuwa kimbilio la wananchi kupata habari za ukweli na uhakika
Sasa Maxence Melo anahojiwa mubashara kuhusu tuzo anayoipokea nchini Marekani.
Chanzo: BBC Dira ya Dunia
Nani anabisha?
Hivi kati ya Jf na Twitter wapi pana freedom of expression ?Ni kweli chombo pekee huru cha habari kilichobaki Tanzania ni JamiiForums.
Ambapo ni vigumu kununulika maana kuna mamia ya watu huru walio member na wageni wanaochangia mada bila hofu yoyote.
Vyombo vingine ama vimenunulika kusifia au vimeamua kujiweka mbali na habari ambazo wanahisi zitawaudhi watawala.
Mfano ni vigumu vyombo vya habari kufanya taarifa za uchunguzi, kuhoji au kukumbushia matukio yanayoiannika serikali kweupe.
Mfano vyombo vya media wataripoti wabunge wa CHADEMA ni watoro Bungeni bila kukumbushia kuwa wamefunguliwa kesi nyingi za utata na utawala wa awamu ya 5 ili wasiweze kuwepo Bungeni kwa muda mrefu.
Lakini JamiiForums habari kama hiyo ya 'watoro' wataongeza na angalizo, historia , video clips ,matamko ya watawala n.k ndiyo yamewafanya wapinzani kuwepo ktk hali ngumu na hatari kisiasa.
Magu na lile genge lake la kijani huko waliko watakuwa wameumia sana kusikia hizi habari.
Sasa hivi utasikia JF ni wakwepa kodi na wahujumu uchumi, genge la mabeberu nk.
Wamiliki wake watakamatwa na watachakaa kwa kukaa rumande. Kama huamini wewe subiri tu.
Wanamponza ndugu yetu kwa jiwe &co.BBC wameipongeza JamiiForums kwa kuwa kimbilio la wananchi kupata habari za ukweli na uhakika
Sasa Maxence Melo anahojiwa mubashara kuhusu tuzo anayoipokea nchini Marekani.
Chanzo: BBC Dira ya Dunia
Muda huo-hjo wewe na wenzako hapo Lumumba mkiongozwa na Musiba mnatafuta namna ya kuifutilia mbali JFBBC wameipongeza JamiiForums kwa kuwa kimbilio la wananchi kupata habari za ukweli na uhakika
Sasa Maxence Melo anahojiwa mubashara kuhusu tuzo anayoipokea nchini Marekani.
Chanzo: BBC Dira ya Dunia
Muda huo huo UPI?!!Muda huo-hjo wewe na wenzako hapo Lumumba mkiongozwa na Musiba mnatafuta namna ya kuifutilia mbali JF
Sijui leo Bashite na Musiba wanaongea nn!
Wewe ni pandikizi la CCM tawi la JF au ni mpiga zumari wa CCM?hapo uzi tayari, eti?
Mabosi zako wanaichukia lakiniNdio au ulitaka mashairi?!