Tetesi: BBC wapo njiani kuja na mazito kuhusu kitabu cha Kabendera na kifo cha Ben Saanane

Ha ha ha mkuu nasikia anafikiria kutangaza kumuunga mkono Lissu ktk uenyekiti wa chama chetu pendwa?
Alidanganywa sana na Kabwe

Hapo UK Memba alichotwa kama mzoga tu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸΌ

Sidhani kama ulikuwa kiumbe hai wakati huo
 
Halafu kumbe hata kuua kwa mkono wake hakuwa na uzoefu, baada ya kumwaga ubongo wa Ben unaambiwa alitetemeka hadi kuangusha silaha aliyoitumia, Noma kweli yaani!
Mkuu ni wazi kwamba ukiwa unamiliki silaha, kuua ni swala la kugusa tu kama ni mtu wa jazba za kijinga.

Nashangaa watu wanao sema haiwezekani, ukute mzee wa watu alimuita kwa nia njema tu waongee personal kwamba kijana kwann unaniandama, sasa kijana wa watu badala ya kuuma na kupuliza yeye akawa anapuliza tu, akijua jamaa ataplay old school sijui na sheria.

Ndipo bwana mkubwa akaona hunijui, ngoja nisambaratishe kichwa
 
Kuna watu watajuta sana Kwa hili!!

Hivi siku Siri za viongozi waliopo hai zikiwekwa wazi nani atastahimili!!?

Mi nasubiri !najua kila kiongozi ana Siri zake za gizani zikiwekwa wazi mtashangaa!!

The state wapo macho na kila kitu kiliratibiwa kilivyo!!

Unafikiri viongozi wakubwa wangapi wamefoji vyeti!!?

Hizi PhDs na degrees za mchongo wanazotunukiwa kimchongo ni halali!!?

Ogopa sana mtu anaekwambia alale umchape halafu zamu Yako ikifika na wewe ulale akuchape!!!
 
Kutojitambua ni tatizo kubwa.
 
Huwa hawabahatishi kama zinavyofanya redio madafu
 
Nawasubiri BBC waweke mambo hadharani kama walivyoweka yale maozo ya TB Joshua hadharani. Kuna ushenzi wa hatari aloufanya Magufuli lazima mambo yote yaanikwe juani!
 
Pascal Mayalla unazo hizi taarifa?
 
Na yamkini jiwe alikuwa na watu, majibu ya kijana akaona kama anadharirishwa, hatimae akafanya kweli.
 
BBC ni mabingwa wa kulinda maslahi "wanayotaka wao"...

Angalia "UKINYONGA HUU"....

Oktoba 2023:

1)Uonevu kwa Israel(biased reporting).

Wakadai "Al Ahly Arab Hospital" ililipuliwa na Israel...kumbe UONGO mtupu.

Mwishoni mwa 2023:

Wanaendeleza "biases"....walipouawa wananchi wa Israel walisema "KILLED"...
Walipouawa wananchi wa Gaza walisema "DEAD"......

Nchi MAKINI haziendeshwi na maono "aila" ya haya ya BBC....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…