Mkunazi Njiwa
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 8,538
- 7,559
Nchi haziendeshwi kwa hizo chunguzi za BBC.....
#Nchi Kwanza!
#Nchi Kwanza!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alidanganywa sana na KabweHa ha ha mkuu nasikia anafikiria kutangaza kumuunga mkono Lissu ktk uenyekiti wa chama chetu pendwa?
Well Noted MkuuVery well calculated move.. Kwanza kitabu.. Kisha uchambuzi na ithibati kwa kutumia undercovers
Mkuu ni wazi kwamba ukiwa unamiliki silaha, kuua ni swala la kugusa tu kama ni mtu wa jazba za kijinga.Halafu kumbe hata kuua kwa mkono wake hakuwa na uzoefu, baada ya kumwaga ubongo wa Ben unaambiwa alitetemeka hadi kuangusha silaha aliyoitumia, Noma kweli yaani!
Tumeshawazoea hao...
Kutojitambua ni tatizo kubwa.Habari wakuu!?
Kwa wale wanaowafahamu wazungu hasa shirika la BBC, hawa jamaa huwa wakipata taarifa ndogo huwa wanakaaa ofisini kwa wiki kadhaa au hata mwezi ama miezi kufanya uchunguzi kisha baada ya hapo wanaanza kufumua mengi zaidi ambayo yamejificha.
Kule Kenya wao ndio walichimba zaidi kuhusu mauaji ya mchungaji Makenze, kule Nigeria walifumbua mengi zaidi kuhusu shutuma za TB Joshua.
Kwa hili linaloendelea hapa Tanzania kutoka ktk kitabu cha Eric Kabendera, tutarajie taarifa nyingi zaidi zitakazotufanya tubaki midogmo wazi kutoka BBC.
Ninaamini kwa sasa wanachambua page after page na matukio ambayo watayagudia zaidi ni la Ben Saanane na kupigwa risasi kwa Tundu Lissu.
Yamkini kwa sasa wameshaanza uchunguzi wa kitabu hiki na wanaandaa nakala kadhaa kisha waanze kurusha hewani ni nini hasa kilitokea kwa Ben Saanane na kwa Lissu pia.
Mind you. Magharibi ma Ulaya walimpiga stop aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Dar Paul Makonda asikanyage USA kwa kumhusisha na mauaji nchini.
Pia kule Uingereza wakatoa habari kwamba TIGO ilihusika na kutoa taarifa zilizosababisha Lissu kupigwa risasi. Hawa jamaa wakiamua kutuwekea mambo wazi watayaweka wazi kwelikweli, kile tunachokitamani kujua ukweli wake, huenda hawa jamaa wakawa nao tayari.
Mungu ibariki Afrika.
Mungu ibariki Tanzania.
Ha ha ha ha Mkuu mimi wa kitambo saaana, nina kadi kabisa ya kijani kama Lucas Mwashambwa na MamaSamia2025Alidanganywa sana na Kabwe
Hapo UK Memba alichotwa kama mzoga tu 😂😂😂🐼
Sidhani kama ulikuwa kiumbe hai wakati huo
Huwa hawabahatishi kama zinavyofanya redio madafuHabari wakuu!?
Kwa wale wanaowafahamu wazungu hasa shirika la BBC, hawa jamaa huwa wakipata taarifa ndogo huwa wanakaaa ofisini kwa wiki kadhaa au hata mwezi ama miezi kufanya uchunguzi kisha baada ya hapo wanaanza kufumua mengi zaidi ambayo yamejificha.
Kule Kenya wao ndio walichimba zaidi kuhusu mauaji ya mchungaji Makenze, kule Nigeria walifumbua mengi zaidi kuhusu shutuma za TB Joshua.
Kwa hili linaloendelea hapa Tanzania kutoka ktk kitabu cha Eric Kabendera, tutarajie taarifa nyingi zaidi zitakazotufanya tubaki midogmo wazi kutoka BBC.
Ninaamini kwa sasa wanachambua page after page na matukio ambayo watayagudia zaidi ni la Ben Saanane na kupigwa risasi kwa Tundu Lissu.
Yamkini kwa sasa wameshaanza uchunguzi wa kitabu hiki na wanaandaa nakala kadhaa kisha waanze kurusha hewani ni nini hasa kilitokea kwa Ben Saanane na kwa Lissu pia.
Mind you. Magharibi ma Ulaya walimpiga stop aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Dar Paul Makonda asikanyage USA kwa kumhusisha na mauaji nchini.
Pia kule Uingereza wakatoa habari kwamba TIGO ilihusika na kutoa taarifa zilizosababisha Lissu kupigwa risasi. Hawa jamaa wakiamua kutuwekea mambo wazi watayaweka wazi kwelikweli, kile tunachokitamani kujua ukweli wake, huenda hawa jamaa wakawa nao tayari.
Mungu ibariki Afrika.
Mungu ibariki Tanzania.
Na bado kesi ya Lissu dhidi ya tigo inaunguruma.Well Noted Mkuu
Nawasubiri BBC waweke mambo hadharani kama walivyoweka yale maozo ya TB Joshua hadharani. Kuna ushenzi wa hatari aloufanya Magufuli lazima mambo yote yaanikwe juani!Habari wakuu!?
Kwa wale wanaowafahamu wazungu hasa shirika la BBC, hawa jamaa huwa wakipata taarifa ndogo huwa wanakaaa ofisini kwa wiki kadhaa au hata mwezi ama miezi kufanya uchunguzi kisha baada ya hapo wanaanza kufumua mengi zaidi ambayo yamejificha.
Kule Kenya wao ndio walichimba zaidi kuhusu mauaji ya mchungaji Makenze, kule Nigeria walifumbua mengi zaidi kuhusu shutuma za TB Joshua.
Kwa hili linaloendelea hapa Tanzania kutoka ktk kitabu cha Eric Kabendera, tutarajie taarifa nyingi zaidi zitakazotufanya tubaki midogmo wazi kutoka BBC.
Ninaamini kwa sasa wanachambua page after page na matukio ambayo watayagudia zaidi ni la Ben Saanane na kupigwa risasi kwa Tundu Lissu.
Yamkini kwa sasa wameshaanza uchunguzi wa kitabu hiki na wanaandaa nakala kadhaa kisha waanze kurusha hewani ni nini hasa kilitokea kwa Ben Saanane na kwa Lissu pia.
Mind you. Magharibi ma Ulaya walimpiga stop aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Dar Paul Makonda asikanyage USA kwa kumhusisha na mauaji nchini.
Pia kule Uingereza wakatoa habari kwamba TIGO ilihusika na kutoa taarifa zilizosababisha Lissu kupigwa risasi. Hawa jamaa wakiamua kutuwekea mambo wazi watayaweka wazi kwelikweli, kile tunachokitamani kujua ukweli wake, huenda hawa jamaa wakawa nao tayari.
Mungu ibariki Afrika.
Mungu ibariki Tanzania.
Pascal Mayalla unazo hizi taarifa?Habari wakuu!?

Na yamkini jiwe alikuwa na watu, majibu ya kijana akaona kama anadharirishwa, hatimae akafanya kweli.Mkuu ni wazi kwamba ukiwa unamiliki silaha, kuua ni swala la kugusa tu kama ni mtu wa jazba za kijinga.
Nashangaa watu wanao sema haiwezekani, ukute mzee wa watu alimuita kwa nia njema tu waongee personal kwamba kijana kwann unaniandama, sasa kijana wa watu badala ya kuuma na kupuliza yeye akawa anapuliza tu, akijua jamaa ataplay old school sijui na sheria.
Ndipo bwana mkubwa akaona hunijui, ngoja nisambaratishe kichwa
Ni afadhali upambane na nyoka Uso Kwa Uso kuliko umkanyage mkia bila kumuona 😂😂😂Ha ha ha ha Mkuu mimi wa kitambo saaana, nina kadi kabisa ya kijani kama Lucas Mwashambwa na MamaSamia2025
Ha ha ha una maana gani mkuu?Ni afadhali upambane na nyoka Uso Kwa Uso kuliko umkanyage mkia bila kumuona 😂😂😂
Huko waliko matumbo motoNa bado kesi ya Lissu dhidi ya tigo inaunguruma.
Hasa iliyo na ukweli uliofichika.BBC wamefocus kwenye kuuza habari!! - Biashara.
Huu ni mwaka wa uchaguzi lazima mambo yawe mengi.Huko waliko matumbo moto
Mkuu unapiga kwenye mshono.Hasa iliyo na ukweli uliofichika.