PostGE2025 BBC yathibitisha UKWELI wa VIDEO za Mauaji yaliyotokea Tanzania mwezi Oktoba 2025

PostGE2025 BBC yathibitisha UKWELI wa VIDEO za Mauaji yaliyotokea Tanzania mwezi Oktoba 2025

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Mtanzania2020

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2020
Posts
1,033
Reaction score
2,307
ONYO: Maudhui ya kutisha.
BBC yathibitisha video za mauaji yalitokea wiki ya uchaguzi nchini Tanzania.

Tumethibitisha baadhi ya video hizo kwa kutumia picha za setalaiti na kulinganisha maeneo. Aidha video hizo zilizosambaa zinaonesha miili ya watu waliopigwa risasi, majeraha katika sehemu mbalimbali za miili, na vikosi vya usalama vikilenga raia wiki ya uchaguzi mkuu nchini humo.

Juhudi za BBC kupata mamlaka kujibu tuhuma zilizomo kwenye ripoti hii hazikufua dafu.

 
Polisi wamesema video na picha zote zinazoonyesha mauaji zimetengenezwa kwa AI. Hata Gen Z wamekubali 🤔

IMG-20251113-WA0058.jpg


➡️➡️➡️ GE2025 - Jumanne Muliro azikataa Video za mauaji kipindi cha maandamano zinazosambaa mtandaoni, adai zimetengenezwa
 
***** shetani Samia utalipa kila tone la damu ulizomwaga kwa watanzania uliowaua ambao walichotaka ni haki,uache mauaji na wizi wa kura zao, ushahidi umeanza na ndio mwanzo tuu,maandamano mengine, mashitaka na pressure za mabeberu etc yanafuata
 
ONYO: Maudhui ya kutisha.
BBC yathibitisha video za mauaji yalitokea wiki ya uchaguzi nchini Tanzania.

Tumethibitisha baadhi ya video hizo kwa kutumia picha za setalaiti na kulinganisha maeneo. Aidha video hizo zilizosambaa zinaonesha miili ya watu waliopigwa risasi, majeraha katika sehemu mbalimbali za miili, na vikosi vya usalama vikilenga raia wiki ya uchaguzi mkuu nchini humo.

Juhudi za BBC kupata mamlaka kujibu tuhuma zilizomo kwenye ripoti hii hazikufua dafu.
-
-
#bbcswahili #tanzania #uchaguzi2025 #maandamano #foryou
hili limenifurahisha sana , tutashinda mungu yupo na sisi Amen
 
Baada ya kujua kirefu cha BBC, watu wanaoelewa hawawezi kupata taabu juu ya propaganda na nia zao ovu, kwa kuwatumia mawakala wao wanaoongea kiswahili.
Unataka kumaanisha nini? Kwamba unasimama na Murilo video ni AI??? Na ni kwa faida ya nani unapolazimisha kupinga na kujitoa ufahamu kwa mambo yaliyo bayana?!
 
Hivi Ile kusema haiku tushangaza maana yake nini haswa kwa lugha rahisi ya kiswahili, kwamba walikua wanatarajia ndio maana haikuwashangaza?
 
Baada ya kujua kirefu cha BBC, watu wanaoelewa hawawezi kupata taabu juu ya propaganda na nia zao ovu, kwa kuwatumia mawakala wao wanaoongea kiswahili.
Akili ndogo kama hizi ndio zimemfikisha Samia hapa, anaingia kwenye rekodi mbaya sana yeye kama mwanamke kuhusika katika mauaji ya kinyama, Kama Samia angaeachana na akili kiporo kama hii yasingetokea, Sasa kwakuwa naye hakufaulu Form 4 basi ameamua kusikiliza wapuuzi kama wewe mwisho anguko lake litatimia.
Samia ana nafasi ndogo tu kuachana na akili za kipuuzi kama hii, na aamue kuomba radhi , mba akili za kijinga sana nyinyi watu na ndio mtaenda kuliangamiza Taifa, mwambieni mama yenu kama anahisi yeye ni sawa Russia, China ana Korea ngoja tumpe mwaka atakuja kuwakataa nyinyi majnun
 
Back
Top Bottom