Wananchi walishaambiwa ikifika saa 12:00 jioni uwe kwako, hapo hapo kuna wahalifu wameshaharibu main road wanakimbilia kwenye makazi. Amani ikivirugika siku zote huwa anadhurika aliyehusika na asiyehusika. Sasa ili hilo lisitokee tuhamasishe kushughulikia changamoto zetu kwa njia ya amani na mazungumzo. Lakini tukihamasisha watu wakomaze vichwa wanaoumia ni wananchi wa kawaida, wala siyo hao wanasiasa.Ww ni moja ya watu ambao hamufaham police rules zinazo waelekeza how to react kwenye maandamano
kwa taarifa yako tu kisheria, wakishtakiwa kesi ni very liable. Matumizi ya nguvu kupita kias na mauaji
Kulikuwa na haja gani kuwafuata watu nyumbani? Hata wale ambao hawakuwepo kwenye maandamano?
How much u got paid dude? How much so u loose your thinking?Wezi wa mali za watu walistahili kukipata hicho walichopata, wasingepata walichopata hadi leo wangekua wanaharibu na kuiba mali za watu
Hizo pics na vids zote ni angavu mchana wa jua Kali. Umevaa miwani ya mbao. By the way how much you got paid for this?Wananchi walishaambiwa ikifika saa 12:00 jioni uwe kwako, hapo hapo kuna wahalifu wameshaharibu main road wanakimbilia kwenye makazi. Amani ikivirugika siku zote huwa anadhurika aliyehusika na asiyehusika. Sasa ili hilo lisitokee tuhamasishe kushughulikia changamoto zetu kwa njia ya amani na mazungumzo. Lakini tukihamasisha watu wakomaze vichwa wanaoumia ni wananchi wa kawaida, wala siyo hao wanasiasa.
Kwani unahitaji BBC kujua kuwa polisi wameua raia wasio na hatia Tanzania?Baada ya kujua kirefu cha BBC, watu wanaoelewa hawawezi kupata taabu juu ya propaganda na nia zao ovu, kwa kuwatumia mawakala wao wanaoongea kiswahili.
Kaka kama hujawa serve kwenye majeshi you dont understand one thing. Not even a single day marufuku ikawa excuse ya ya kufuata watu nyumban , ambao hata nje hawakutoka na kuanza kuwamiminia risasiWananchi walishaambiwa ikifika saa 12:00 jioni uwe kwako, hapo hapo kuna wahalifu wameshaharibu main road wanakimbilia kwenye makazi. Amani ikivirugika siku zote huwa anadhurika aliyehusika na asiyehusika. Sasa ili hilo lisitokee tuhamasishe kushughulikia changamoto zetu kwa njia ya amani na mazungumzo. Lakini tukihamasisha watu wakomaze vichwa wanaoumia ni wananchi wa kawaida, wala siyo hao wanasiasa.
Nafkiri BBC wameweka watu wao kabisa katika uchaguzi huu. Kwa mara ya kwanza naiona BBC ikiiandika Tanzania sana katika habari zao.Bado CNN wanakuja na ripoti yao mamaé
Zile videos zilikuwa zinahitaji uthibitisho? Nacheka kwa hasira
Wangekaa kimya!
Ni kweliNdio mkuu, Hata ukienda nazo Mahakamani lazima uthibitisho wa location na Tarehe ufanyike na uwiane na details za siku ya tukio ndo utakubalika kama ushahidi
Kwani BBC waliowatuma muue raia mkuu?Baada ya kujua kirefu cha BBC, watu wanaoelewa hawawezi kupata taabu juu ya propaganda na nia zao ovu, kwa kuwatumia mawakala wao wanaoongea kiswahili.
Are you a human?Kwahali ilipofikia, nadhani walifanya uamuzi sahihi. Tusiongee kwakuwa tuko kwenye social media.
Sheikh majini aliiba wapi mkuu?Wezi wa mali za watu walistahili kukipata hicho walichopata, wasingepata walichopata hadi leo wangekua wanaharibu na kuiba mali za watu
Huyo ni mke wa abdul
Wewe si ulikuwa unamuunga mkono kahabaBado CNN