PostGE2025 BBC yathibitisha UKWELI wa VIDEO za Mauaji yaliyotokea Tanzania mwezi Oktoba 2025

PostGE2025 BBC yathibitisha UKWELI wa VIDEO za Mauaji yaliyotokea Tanzania mwezi Oktoba 2025

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Zile videos zilikuwa zinahitaji uthibitisho? Nacheka kwa hasira

Wangekaa kimya!
Punguza hisia... hicho ni chombo cha kitaifa, hakiwezi post tu kama vile ni page ya instagram.

Trump mwenyewe alienda Congo nadhani, lakini akashare footage za SA akidhani ni za Congo.
 
Punguza hisia... hicho ni chombo cha kitaifa, hakiwezi post tu kama vile ni page ya instagram.

Trump mwenyewe alienda Congo nadhani, lakini akashare footage za SA akidhani ni za Congo.

Kwa nilivyoelewa uzi ni kwamba BBC wamesema videos sio AI kama serikali yetu iliyosema...sikumaanisha BBC wanatakiwa kupost habari bila utafiti

Ama wewe umeelewaje?
 
Samuya na wahuni wake hawachomoi hapa.

Ushahidi ni mwingi mno.

Walivyo wapumbavu, wakadhani kuzima internet kutaficha matendo waliyokuwa wamepanga kuyafanya.

Walidhani labda bado tunaishi kwenye zama za mawe.

Kwahali ilipofikia, nadhani walifanya uamuzi sahihi. Tusiongee kwakuwa tuko kwenye social media.
Uamuzi sahihi kuua??? Ona Basi hata aibu 🙄
 
Back
Top Bottom