PostGE2025 BBC yathibitisha UKWELI wa VIDEO za Mauaji yaliyotokea Tanzania mwezi Oktoba 2025

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Shirika la utangazaji la kimataifa BBC kwa mara ya kwanza limesambaza video ilizothibitisha kuwa ni mauaji ya halaiki yaliyotokea Tanzania kipindi cha uchaguzi mkuu mwaka 2025. Mtangazaji wake pia amethibitisha kushuhudia watu wakipigwa risasi na kuuawa kwenye mpaka wa Tanzania na Kenya uliopo Namanga.

Kupitia satellite BBC imesema kuwa imepata uhalisia wa video za mauaji zinazosambazwa na kukiri kuwa ni za kweli. BBC imesema kuwa mamia ya mauaji ya vijana yalitolea nchini na yamethibitishwa kutokea kwa majeraha ya risasi.

Aidha BBC imethibitisha kuwa video ya miili iliyolundikana ikidaiwa kuwa imetokea hospitali ya Soko You're Mwanza kuwa ni ya kweli.

Pia BBC imethibitisha kuwa ni kweli miili ya vijana ilisambaa mitaani katika kipindi hicho huku wakionyesha video mbali mbali.

Aidha pia BBC imethibitisha askari waliovalia nguo nyeusi kwenye video kuwa ni kweli walikuwepo mitaani kipindi hicho ila haijulikani walipotokea kwani siyo vazi rasmi la majeshi ya Tanzania bara.

Mwisho pia BBC imethibitisha serikali kutokutoa ushirikiano na pia kutoa maelezo ya uongo pale wanapobanwa.
 
Baada ya kujua kirefu cha BBC, watu wanaoelewa hawawezi kupata taabu juu ya propaganda na nia zao ovu, kwa kuwatumia mawakala wao wanaoongea kiswahili.
Kila kitu mnasingizia propaganda, wtf?

Kwamba matukio hayajatokea? Watu hawaja uwawa?

BBC wananshida zao lakin moja wapo si ku expose matatizo kama hayo,
Media za nyumbani si zimepigwa pini? Basi za nie zita expose
 
So what's next?
 
ONYO: Maudhui ya kutisha.
BBC yathibitisha video za mauaji yalitokea wiki ya uchaguzi nchini Tanzania.

Tumethibitisha baadhi ya video hizo kwa kutumia picha za setalaiti na kulinganisha maeneo. Aidha video hizo zilizosambaa zinaonesha miili ya watu waliopigwa risasi, majeraha katika sehemu mbalimbali za miili, na vikosi vya usalama vikilenga raia wiki ya uchaguzi mkuu nchini humo.

Juhudi za BBC kupata mamlaka kujibu tuhuma zilizomo kwenye ripoti hii hazikufua dafu.

View attachment 3501566
Muogope Mungu na teknolojia
 
Baada ya kujua kirefu cha BBC, watu wanaoelewa hawawezi kupata taabu juu ya propaganda na nia zao ovu, kwa kuwatumia mawakala wao wanaoongea kiswahili.
Ignored and blocked you successfully!!

Tsh. 25M ulizopewa zitaishia tu na MUNGU atakuuliza kuhusu haya
 
Kila kitu mnasingizia propaganda, wtf?

Kwamba matukio hayajatokea? Watu hawaja uwawa?

BBC wananshida zao lakin moja wapo si ku expose matatizo kama hayo,
Media za nyumbani si zimepigwa pini? Basi za nie zita expose
Mbona uhalifu uliopelekea hayo kutokea hawauoneshi? Au ndiyo wanataka kutimiza ajenda yao?
 
Wameonyesha sana , lakin tunarudi pale mali zinaweza kurudishwa in time, uhai wa watu je?
Was it necessary kuua watu wengi kiasi kile hadi kuficha miili ya watu?
Kwahali ilipofikia, nadhani walifanya uamuzi sahihi. Tusiongee kwakuwa tuko kwenye social media.
 
Ww ni moja ya watu ambao hamufaham police rules zinazo waelekeza how to react kwenye maandamano

kwa taarifa yako tu kisheria, wakishtakiwa kesi ni very liable. Matumizi ya nguvu kupita kias na mauaji

Kulikuwa na haja gani kuwafuata watu nyumbani? Hata wale ambao hawakuwepo kwenye maandamano?
 
Back
Top Bottom