Hatofaulu. Labda kama ameamua kugawa hizo hela vijana wanunue bandle waangalie connection halafu hivo. Lkn kilimo kama kilimo hatofaulu.
Kilimo kina kina hatua 3 ambazo lazima ziende sambamba. Nazo ni INPUT,,,,,,PROCESS,,,,,,OUTPUT.
Ikiyumbaa mojawapo mnyororo wote unakatika. Mama anahangaika na PROCESS wakati input (mashamba, mbolea, viwatilifu na huduma za ugani bado hazijawekewa mifumo mizuri. Na OUTPUT (mifumo ya masoko na taratibu za uuzaji mazao ndani na nje ya nchi bado haiko sawa).
Anachokifanya rais Samia hakina tofauti na alichokifanya rais Kikwete cha kugawa bilioni kumi kila mkoa. Hela zilidakwa na kupigwa na wajanja mpk leo.
Nakuhakikishia SAMIA HATOFAULU
Kilimo is a self driving process