- Thread starter
- #21
Mitaji inatolewa kwa wakulima na riba imepungua pia masoko yapo ya kutosha nje ya nchi kipindi hiki cha uongozi wa Rais Samia Suluhu kilimo kimepewa kipaumbele na kuna dalili zote za wakulima wengi kuwa matajiri wakubwa maana pembejeo za kilimo zinapatikana kwa gharama ndogo sana na wanauza mazao kwa bei ya juu na sio bei ya kupangiwaSerikali iache siasa, tatizo la wakulima nchini ni MITAJI NA MASOKO. Ijikite kutatua hilo