Ahahahahahahah aisee Nimecheka sana, yaani akina Kyosak wanakwambia kuajiriwa ni kupoteza muda wakati hela ya kuchapisha vitabu ilitokana na ajira baada ya kuvuna vyakutosha ndo akaacha!BBT ni Kilimo Cha kwenye Tablet, sawa na zile stori za kilimo cha matikiti za whatsapp
Huyo ng'ombe mwenye kilo 400 kawekewa na mawe au?E
Exactly, kilo ya nyama ni elfu 8, ngombe anatoa kilo 400 za nyama, wakitengeneza butcher ya kisasa qana uhakika wa milioni 7 kila siku yaani kuuza ngombe wawili kila siku
Akili kubwa imetumika kuchangia hoja na wewe umechangia upuuzi tupuAfadhali umedhihirisha utupu wa fuvu lako,kwa hiyo ulitaka fursa hizo za kilimo wapewe watu waliosoma vyuo vya kilimo na ufundi tu!?..unajua malengo ya BBT au walau tatizo la ajira tz!?..lipo kwa wasomi tu!?..watu wenye elimu ya chuo ni wangapi tz!?
Hebu twende na wazo la magufuli tuwawezeshe matajiri ili wawaajiri vijana na masikini, mfano mzuri bhakresa tumempa shambapori leo anazalisha sukari na ana export hili shamba tumpatie sumri au na haya mapesa uone kama baada ya mwaka hata export nyama uarabuni na hawa vijana watakuwepo wakijipatia ajiraWanangu mna hoja nzito sana hadi nashindwa niwe upande gani PROPOSE or OPPOSE sasa wanangu hebu leteni solution sasa tufanyeje kama nchi maana tumeshatoa maboko tayari....
Ni aina ya ngombe wanaitwa borani yaani wanauzito kati ya kg 600 hadi 800Hivi pale Mabuki wale Ng'ombe wa nyama mbona ni wakubwa au wamepandishwa na Nyati?
We no open kichwa hujaelewa soma tena utamuelewaa muandishiAfadhali umedhihirisha utupu wa fuvu lako,kwa hiyo ulitaka fursa hizo za kilimo wapewe watu waliosoma vyuo vya kilimo na ufundi tu!?..unajua malengo ya BBT au walau tatizo la ajira tz!?..lipo kwa wasomi tu!?..watu wenye elimu ya chuo ni wangapi tz!?
Huwa kila nikipita pale huwa najiuliza ile breed ni ya aina gani.Ni aina ya ngombe wanaitwa borani yaani wanauzito kati ya kg 600 hadi 800
Yaani chakushangaza kuna watumishi wa mwabuki badala kufuga wanalima mahindi na maharage ndani ya shamba wakati ni afisa mifugo tena kasomea bulgaria na ukraneHuwa kila nikipita pale huwa najiuliza ile breed ni ya aina gani.
Asante Mkuu kwa ufafanuzi.
Badala ya matajiri iwe familia .Hebu twende na wazo la magufuli tuwawezeshe matajiri ili wawaajiri vijana na masikini, mfano mzuri bhakresa tumempa shambapori leo anazalisha sukari na ana export hili shamba tumpatie sumri au na haya mapesa uone kama baada ya mwaka hata export nyama uarabuni na hawa vijana watakuwepo wakijipatia ajira
Pale bagamoyo tungewapa vijana wa bbt sasahivi wangekuwa wanalalamikia soko la miwq
Marekani ni mzalishaji mkubwa wa mahindi na asilimia ndogo sana ndio hutumika kama chakula Cha binadamu ila kiasi kikubwa ni malishio ya ng'ombe na nishati.Yaani chakushangaza kuna watumishi wa mwabuki badala kufuga wanalima mahindi na maharage ndani ya shamba wakati ni afisa mifugo tena kasomea bulgaria na ukrane
Halafu wanaletewa vijana wa bbt wawafundishe kufuga kibiashara kwanini wasiwavunje moyo na kuwalisha matango pori kuwa soko hamna
Siyo watanzania!.Akili kubwa imetumika kuchangia hoja na wewe umechangia upuuzi tupu
Kwa hiyo kwako ni vizuri wavaa pensi na wanaume wa dar wala chips ndo waende shamba??
Ninajua Bashe huwa anapitia humu JF haiwezekani Afisa Mifugo akasomeshwe Bulgaria kwa fedha za Umma halafu alete upuuzi.Yaani chakushangaza kuna watumishi wa mwabuki badala kufuga wanalima mahindi na maharage ndani ya shamba wakati ni afisa mifugo tena kasomea bulgaria na ukrane
Kwa hiyo wasingepewa au wajaziwe Bure!?Je umewahi kuyaishi maisha ya vijijini lakini?
Kuipata hela ya kujaza gas kwenye mtungi ni issue.
Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
Mi nilikuwa na suluhiso la hili tatizo ila sikupata nafasi ya kuonana na Mh. Bashe. Ila naamini hajachelewa, nitamtafutaVijana wa BBT waliojikita ktk ufugaji wa ng'ombe wameanza kulia kwa kukosa soko la ng'ombe wao.
Hata bibi yangu anayefuga ng'ombe zake kule Katavi kilio chake ni hicho hicho?
Serikali ilipaswa kujikita ktk kutafua changamoto za wakulima na wafugaji nchini na siyo kujiingiza kwenye miradi ya mazingaombwe kama BBT.
View attachment 2786712
Source: ITV habari.
Wewe ndo hujamuelewa,msome Tena,au soma tu hata headingPengine hukumuelewa mkuu,kamaanisha kuwa mradi umeanzishwa pasipo kushirikisha wenye dhamana ya sekta husika.
Sema imejaa wezi wengi siyo upigaji...hii tabia ya kuoneana haya hadi kwenye matumizi ya lugha ndiyo inasababisha wezi waitwe wajanja na waadilifu waitwe wajinga!Miradi mingi ya serikali inakwama kwa sababu wanao ileta hiyo miradi wanakuwa na nia ya kiupigaji zaidi kuliko kuwainua wananchi kiuchumi.
Mf; kulikuwa na mradi wa kuwagawia wananchi wa vijijini mitungi ya gesi
Hivi unafikiri kipi bora kati ya kupunguza gharama za kujaza gesi au kuwagawia wananchi mitungi ya gesi bure ambayo baada ya gesi kwisha hawataweza kuijaza tena
Miradi kama Mkukuta, Mkurabita, tasaf, BBT, hiyo miradi imejaa upigaji mwingi.