Nguruvi3
Platinum Member
- Jun 21, 2010
- 15,773
- 32,431
Mimi siungi mkono ''Protectionism' kabisa. Ninatamani sana soko la ajira na Biashara liachwe huru waingie vijana kutoka mataifa mengine ili hawa wakwetu wajifunze. Vijana wetu siyo aggressive kabisa , ni kulia lia tu na porojoNaunga mkono, capacity building kwa vijana wetu bado inahitajika.
P
Yaani mtu analeta habari hakuna soko la ng'ombe Tanzania! huu kama si ujinga basi sijui ujinga ni kitu gani.
Hao wafugaji na hawajui haya
1. Kwamba kuuza nyama kunaongeza thamani zaidi ya ng'ombe
2. Kwamba kuna soko la ngozi kwa hao ng'ombe
3. Kwamba kinyesi ni mbolea watakayoitumia katika mashamba ya Carrot , Biringanya, Nyanya n.k.
4. Kwamba kinyeshi wanaweza kukitumia katika Bio-gas na kupunguza gharama za mambo madogo
Kuna vitu vingi sana wanaweza kufanya , hawafikiri wanakimbilia kumlaumu Bashe
Nina wa 'challenge' tangu uhuru nitajieni Waziri mmoja tu aliyekwenda mbali katika kutafsiri kilimo kuliko Bashe
Hivi mnataka watu warudi kule kwa Waziri mkuu kuagiza mvua za mabomu kutoka Thailand!
Bashe anasema hatuwezi kufa njaa kwasababu tumekaa tunaangalia Mawingu ya mvua maji yakitirika kwenda Baharini na kwenye maziwa. Tunataka kilimo 365 days.