BBT yaanza kukwama. Tulisema hapa kuwa BBT ni shimo la kuzikia fedha za Kodi zetu

BBT yaanza kukwama. Tulisema hapa kuwa BBT ni shimo la kuzikia fedha za Kodi zetu

BBT ni Kilimo Cha kwenye Tablet, sawa na zile stori za kilimo cha matikiti za whatsapp
Ahahahahahahah aisee Nimecheka sana, yaani akina Kyosak wanakwambia kuajiriwa ni kupoteza muda wakati hela ya kuchapisha vitabu ilitokana na ajira baada ya kuvuna vyakutosha ndo akaacha!

Wanapata hela Kwa kuuza vitabu vya jinsi ya kujiajiri ahahahah! Sijui nimeeleweka?

Siku Moja nilihudhuria motivational accasion Moja pale msasani kwakweli ndo ulikuwa mwanzo wa mwisho wa kujuana na hao ngulumbili!
 
E

Exactly, kilo ya nyama ni elfu 8, ngombe anatoa kilo 400 za nyama, wakitengeneza butcher ya kisasa qana uhakika wa milioni 7 kila siku yaani kuuza ngombe wawili kila siku
Huyo ng'ombe mwenye kilo 400 kawekewa na mawe au?
 
Shida ya nchi yetu,wanasiasa hufanya jambo kwa maslahi ya kisiasa na sio kuisaidia jamii.
 
Ningona la maana kama ungeleta solution hii ya kusubiri changamoto ndio ukosoe no deadful
 
Afadhali umedhihirisha utupu wa fuvu lako,kwa hiyo ulitaka fursa hizo za kilimo wapewe watu waliosoma vyuo vya kilimo na ufundi tu!?..unajua malengo ya BBT au walau tatizo la ajira tz!?..lipo kwa wasomi tu!?..watu wenye elimu ya chuo ni wangapi tz!?
Akili kubwa imetumika kuchangia hoja na wewe umechangia upuuzi tupu

Kwa hiyo kwako ni vizuri wavaa pensi na wanaume wa dar wala chips ndo waende shamba??
 
Wanangu mna hoja nzito sana hadi nashindwa niwe upande gani PROPOSE or OPPOSE sasa wanangu hebu leteni solution sasa tufanyeje kama nchi maana tumeshatoa maboko tayari....
Hebu twende na wazo la magufuli tuwawezeshe matajiri ili wawaajiri vijana na masikini, mfano mzuri bhakresa tumempa shambapori leo anazalisha sukari na ana export hili shamba tumpatie sumri au na haya mapesa uone kama baada ya mwaka hata export nyama uarabuni na hawa vijana watakuwepo wakijipatia ajira

Pale bagamoyo tungewapa vijana wa bbt sasahivi wangekuwa wanalalamikia soko la miwq
 
Afadhali umedhihirisha utupu wa fuvu lako,kwa hiyo ulitaka fursa hizo za kilimo wapewe watu waliosoma vyuo vya kilimo na ufundi tu!?..unajua malengo ya BBT au walau tatizo la ajira tz!?..lipo kwa wasomi tu!?..watu wenye elimu ya chuo ni wangapi tz!?
We no open kichwa hujaelewa soma tena utamuelewaa muandishi
 
Ni aina ya ngombe wanaitwa borani yaani wanauzito kati ya kg 600 hadi 800
Huwa kila nikipita pale huwa najiuliza ile breed ni ya aina gani.

Asante Mkuu kwa ufafanuzi.
 
Huwa kila nikipita pale huwa najiuliza ile breed ni ya aina gani.

Asante Mkuu kwa ufafanuzi.
Yaani chakushangaza kuna watumishi wa mwabuki badala kufuga wanalima mahindi na maharage ndani ya shamba wakati ni afisa mifugo tena kasomea bulgaria na ukrane

Halafu wanaletewa vijana wa bbt wawafundishe kufuga kibiashara kwanini wasiwavunje moyo na kuwalisha matango pori kuwa soko hamna
 
Hebu twende na wazo la magufuli tuwawezeshe matajiri ili wawaajiri vijana na masikini, mfano mzuri bhakresa tumempa shambapori leo anazalisha sukari na ana export hili shamba tumpatie sumri au na haya mapesa uone kama baada ya mwaka hata export nyama uarabuni na hawa vijana watakuwepo wakijipatia ajira

Pale bagamoyo tungewapa vijana wa bbt sasahivi wangekuwa wanalalamikia soko la miwq
Badala ya matajiri iwe familia .
Mbona pesa za kuchangiana misiba na harusi watu wanazo ,Vipi wakipiga donation ipatikane pesa ya kujenga bucha,au mashine na majokofu au refrigerator trucks .
Matajiri wataendelea kuwa matajiri maskini hawataki kukata minyororo ya umasikini wa familia ndio maana hoja kama hizi tunaambiwa wapewe matajiri Ili waajiri maskini, ajira nayo ni utumwa wa kisasa
 
Yaani chakushangaza kuna watumishi wa mwabuki badala kufuga wanalima mahindi na maharage ndani ya shamba wakati ni afisa mifugo tena kasomea bulgaria na ukrane

Halafu wanaletewa vijana wa bbt wawafundishe kufuga kibiashara kwanini wasiwavunje moyo na kuwalisha matango pori kuwa soko hamna
Marekani ni mzalishaji mkubwa wa mahindi na asilimia ndogo sana ndio hutumika kama chakula Cha binadamu ila kiasi kikubwa ni malishio ya ng'ombe na nishati.
Sasa unataka wafanye kama wamasai kizunguka na mifugo na kuharibu mashamba ya wakulima.
Kama wanalima Kwa Lengo la malisho au kutumia ardhi yenye mbolea nzuri Kwa kilimo sioni ubaya hapo
 
Yaani chakushangaza kuna watumishi wa mwabuki badala kufuga wanalima mahindi na maharage ndani ya shamba wakati ni afisa mifugo tena kasomea bulgaria na ukrane
Ninajua Bashe huwa anapitia humu JF haiwezekani Afisa Mifugo akasomeshwe Bulgaria kwa fedha za Umma halafu alete upuuzi.
 
Vijana wa BBT waliojikita ktk ufugaji wa ng'ombe wameanza kulia kwa kukosa soko la ng'ombe wao.

Hata bibi yangu anayefuga ng'ombe zake kule Katavi kilio chake ni hicho hicho?

Serikali ilipaswa kujikita ktk kutafua changamoto za wakulima na wafugaji nchini na siyo kujiingiza kwenye miradi ya mazingaombwe kama BBT.

View attachment 2786712
Source: ITV habari.
Mi nilikuwa na suluhiso la hili tatizo ila sikupata nafasi ya kuonana na Mh. Bashe. Ila naamini hajachelewa, nitamtafuta
 
Miradi mingi ya serikali inakwama kwa sababu wanao ileta hiyo miradi wanakuwa na nia ya kiupigaji zaidi kuliko kuwainua wananchi kiuchumi.

Mf; kulikuwa na mradi wa kuwagawia wananchi wa vijijini mitungi ya gesi
Hivi unafikiri kipi bora kati ya kupunguza gharama za kujaza gesi au kuwagawia wananchi mitungi ya gesi bure ambayo baada ya gesi kwisha hawataweza kuijaza tena

Miradi kama Mkukuta, Mkurabita, tasaf, BBT, hiyo miradi imejaa upigaji mwingi.
Sema imejaa wezi wengi siyo upigaji...hii tabia ya kuoneana haya hadi kwenye matumizi ya lugha ndiyo inasababisha wezi waitwe wajanja na waadilifu waitwe wajinga!

As long as hatuwezi kuwaita wezi kuwa ni wezi kamwe hatutoweza kupambana na tabia ya wizi kwenye maofisi...thieves should be shamed na hata wakija kwenye ibada muwatenge badala ya kuwapa front seats na kuwatukuza!
 
Back
Top Bottom