Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
KIA naona ziko Left HandedWewe ni mtu wa tatu kunitisha kuhusu gari za Singapore. Kuna Sorento KIA nimeipenda huko
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KIA naona ziko Left HandedWewe ni mtu wa tatu kunitisha kuhusu gari za Singapore. Kuna Sorento KIA nimeipenda huko
Ilikiwaje?Singapore kuna Subaru jamaa aliagiza kwa sasa anajuta vilivyo 😂
Ni hela ndefu sana MkuuMilioni 26 ni bei ndogo kabla ya ushuru???
Imekaanga engine ndani ya muda mfupi.tuIlikiwaje?
Zipo pia Right. Fanya filter weka option kwenye steringKIA naona ziko Left Handed
Wewe Pesa ulilipa kwa nani?Mkuu nadhani Ni jukumu lao kunipa hizo documents ili kulinda integrity yao. Ndahani Mimi nitajuaje kama zinahitajika?? Wamenitia hasara sana. Nimepata pia na wadau wengine wanalalamikia same thing
Hasara kubwa sanaImekaanga engine ndani ya muda mfupi.tu
Okay....thanksZipo pia Right. Fanya filter weka option kwenye stering
Kwahio kamuuzia mtu matatizo 😂Umesema kweli....mdogo wangu aliagiza forester kutoka Singapore. Gari ilisumbua sana bahati nzuri alipata mteja akauza...
Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
Mkuu Outlander 7 seater unazizungumziaje?Kwahio kamuuzia mtu matatizo 😂
Dah sina uzoefu nayoMkuu Outlander 7 seater unazizungumziaje?
Ukiona mtu kala za uso 🤣Mnatutisha jamani, sisi tunaowaz starlet now
hapa sasa kwenye hali kama hii inabaki serikali yetu kupitia mamlaka zake kuhakikisha raia wake hawaingizwi kingi kwa kufanya vitu kama hivi viwe vya lazima, mimi naamini nchi za wenzetu kudhulumu watu hata kama mtu hana uelewa ni ngumu kwa sababu kabla kujamuingiza mtu kingi unakua umekutana na mamlaka zaoAaha kumbe ukienda kununua Kuna doc unapewa za utangulizi kujua condition ya gari??? Lakini nadhani kampuni ingekuwa inawapa doc wateja bila kuulizwaa..
kwani yard za magari yale ni mapambo wameweka? tabu yote ya nini kuagiza gari toka nje. ulimbukeni na ushamba tu. watu weusi bado ni warugaruga ila mnatofautiana viwango vya urugaruga. umejitakia.Wakuu natumai mu wazima!
Kuna wimbi la Be Forward kuleta magari mabovu ambayo yanasabibisha usumbufu mkubwa kwetu sisi wateja.
Nimenunua Alphard- nikaambiwa imefanyiwa mpaka na Inspection, na tena Be Forward Tanzania ndio walifanya clearance. Sasa cha ajabu gari imefika inavuja oil, pia imepigwa rangi nyeusi kumbe Original color ilikuwa ni Nyeupe, ikabidi tena ifanyiwe service hapa Tanzania kwenye yard ya Be Forward ndio TBS wakaipitisha.
Lakini gari bado ina matatizo mengi sana ya check engine, rejeta, masega na Engine box. Nimejaribu kufuatilia Be forward Tanzania wananijibu sababu niliagiza moja kwa moja Japan na Singapore hiyo haiwahusu. Nimefuatilia ilipotoka wananizungusha bila majibu ya kueleweka. Sasa nimeishia kupaki gari sababu haina nguvu na injini inachemsha.
Naomba mnisaidie kama kuna mwenye ushauri wa nini cha kufanya.
Asanteni wakuu.
Singapore, pole mkuu.Ilikuwa Singapore Mkuu ila kupitia ofisi yao ya Japan na Tanzania.
Huyo ujuaji umemponza ofc za beforwad Tanzania zipo posta kwanini yeye awasiliana na ma agent wa sehemu nyingine alafu jumba bovu uwape watu wa nchi yako..Be Forward kwa bongo ndio kampuni ambayo inaaminika sana kama wameanza business za kubahatisha basi wengi wanaenda kuumia ila ushauri unaponunua kitu chochote cha gharama yakupaswa uwekeze muda mwingi kwenye kukichunguza maana gari ikishaingia bongo kulikataa ni gharama na kuna take time
AiseeJaribu Vw touran ila
Ni kadogo dogo unaweza kukapiga spacer kidogo
Kama mfuko unaruhusu BMW X5 ziko za 7 seaters ujipata diesel utakula maisha
kwani yard za magari yale ni mapambo wameweka? tabu yote ya nini kuagiza gari toka nje. ulimbukeni na ushamba tu. watu weusi bado ni warugaruga ila mnatofautiana viwango vya urugaruga. umejitakia.
ningekua sirikali ningepiga marufuku kuagiza magari mnatujazia matakataka. ukiagiza uagize gari mpya. mnunue za yard ziishe. huo utafiti wako wa 80% umetoa wapi? tafuta fundi makini nenda naye afanye kazi yake ya ukaguzi uchomoe chombo.Hata wewe inaonekana ni mshamba pia ingawa unajiona mjanja. Gari za yard hapa bongo asilimia 80 wameshachezea mileage na bei ziko juu.
Na nia yangu ni kukuambia kabla hujamcheka mwenzio au kumuona boya kuwa mnyenyekevu na msaidie. Usifikiri tunaoagiza nje hatuzioni yard au tunaleta ujuaji. Binafsi nishaagiza gari kama 5 Japan(2 hazikuwa zangu) na zote sijajuta. Muhimu kujua unachofanya.
Tusaidiane badala ya kuchekana.
Mkuu kama hutojali hiyo website iweke hapa jukwaaniKuagiza ni Bora zaidi SEMA kama hujui uliza maana Kuna website ukiingiza you chasis numba unapata full history ya gari hasa kwa zilizopo Japan
Gari imesajiliwa lini
Imeshamilikiwa na watu wangapi
Accident history
Km ilizoingia nazo kwenye auction
Grade iliyopewa
Service history
Aina ya matumizi iliyokuwa inafanya(town trip or high way)
Hiyo gari ninauhakika hiyo engine huwenda ilibadilishwa maana engine za 2az za chino ya 2005 zilikuwa na shida ya nati kati ya Brock na cylinder head kufunga Kwa mizunguko michache hivyo kuleta tatizo la kuachia kutokana na compression ya engine hata ukaze vipi
Hiyo gari imeharibiwa na mafundi uchwara gear box haikuwa na shida
Hapo ilibidi kupeleka block engineering lakini sio reliable au ununue block ila hakikisha imetengenezwa zaidi ya 2005/6
Pia badili oxygen air sensor pia inachangia gari kukosa nguvu