Kulikoni mkuu?Aisee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kulikoni mkuu?Aisee
Kuagiza ni Bora zaidi SEMA kama hujui uliza maana Kuna website ukiingiza you chasis numba unapata full history ya gari hasa kwa zilizopo Japan
Gari imesajiliwa lini
Imeshamilikiwa na watu wangapi
Accident history
Km ilizoingia nazo kwenye auction
Grade iliyopewa
Service history
Aina ya matumizi iliyokuwa inafanya(town trip or high way)
Hiyo gari ninauhakika hiyo engine huwenda ilibadilishwa maana engine za 2az za chino ya 2005 zilikuwa na shida ya nati kati ya Brock na cylinder head kufunga Kwa mizunguko michache hivyo kuleta tatizo la kuachia kutokana na compression ya engine hata ukaze vipi
Hiyo gari imeharibiwa na mafundi uchwara gear box haikuwa na shida
Hapo ilibidi kupeleka block engineering lakini sio reliable au ununue block ila hakikisha imetengenezwa zaidi ya 2005/6
Pia badili oxygen air sensor pia inachangia gari kukosa nguvu
Ukutane na grade Rningekua sirikali ningepiga marufuku kuagiza magari mnatujazia matakataka. ukiagiza uagize gari mpya. mnunue za yard ziishe. huo utafiti wako wa 80% umetoa wapi? tafuta fundi makini nenda naye afanye kazi yake ya ukaguzi uchomoe chombo.
Huwezi tapeliwa JapanMimi nahisi Singapore nao wananunua magari used kutoka Japan, wakiyachoka wanayauza na wao!
Hivi Wajapan wenyewe orijino wanaweza kuwa matapeli tapeli mana wanasifika kwa kufanya kazi na umakini? Au watakuwa wamefundishwa utapeli na Waafrika ambao wameweka makazi yao huko Japan?
How so? Yani gari inamshindaje fundi? Hauna service manual ya hiyo gari? Ni mechanical au electrical issue?Ni ya 2014, gari haiwezi kwenda hata Kariakoo inachemsha! Naomba ushari nifanyeje na hii gari. Je Toyoto Tanzania wanaweza nisaidia, maana gereji za mitaani hii imewashinda
Kwani hayo magari yaliyo yard huwa yanatoka wapi?kwani yard za magari yale ni mapambo wameweka? tabu yote ya nini kuagiza gari toka nje. ulimbukeni na ushamba tu. watu weusi bado ni warugaruga ila mnatofautiana viwango vya urugaruga. umejitakia.
Kwani hayo magari yaliyo yard huwa yanatoka wapi?kwani yard za magari yale ni mapambo wameweka? tabu yote ya nini kuagiza gari toka nje. ulimbukeni na ushamba tu. watu weusi bado ni warugaruga ila mnatofautiana viwango vya urugaruga. umejitakia.
Watu wana sikia singapore ndogo barabara zote lami afu magari hayali mileage kubwa[emoji81][emoji81]kumbeeeMimi nahisi Singapore nao wananunua magari used kutoka Japan, wakiyachoka wanayauza na wao!
Hivi Wajapan wenyewe orijino wanaweza kuwa matapeli tapeli mana wanasifika kwa kufanya kazi na umakini? Au watakuwa wamefundishwa utapeli na Waafrika ambao wameweka makazi yao huko Japan?
Hili hawezi kukujibuKwani hayo magari yaliyo yard huwa yanatoka wapi?
Pole kwa kuchelewa kukurudia ndugu yangu. Kama bado hujapata suluhisho la lile tatizo unaweza kuwasiliana na hii namba 0658 936 859 unaweza kupata suluhu.Nitashukuru mkuu asante sana
ningekua sirikali ningepiga marufuku kuagiza magari mnatujazia matakataka. ukiagiza uagize gari mpya. mnunue za yard ziishe. huo utafiti wako wa 80% umetoa wapi? tafuta fundi makini nenda naye afanye kazi yake ya ukaguzi uchomoe chombo.
Na kama gari wameona ina shida kwanini hawakuandika kwenye statement yao au kwenye mawasiliano niliyodanya nao watu wa Japan???
Kaka south africa unaweza kuwa na connection nataka ndinga moja toka huko mana naona watu wengi wanazisifia sn gari zaoWatanzania tunapenda cheap, gari za singapore siyo gari watu hawaelewi ,
Gari reliable zipo japan na southafrica tu
Ni nzuri kwa kweli na zimetengenezwa kwa mazingira ya africaKaka south africa unaweza kuwa na connection nataka ndinga moja toka huko mana naona watu wengi wanazisifia sn gari zao
Yah tupate connection nadhan itakuwa poa snNi nzuri kwa kweli na zimetengenezwa kwa mazingira ya africa