Hao hao personal trainer ndio wanakula na kumshikashuka mtot viungo hatarishi ukizani anafundishwa kumbe mtoto Alisha tekenywa mnoo anatoka ktk maji kachoka kumbe wamesha mtekenya vibaya mnoWazazi nao walaumiwe hapo na iwe funzo kwa wazazi wengine.
Kama ni kumfundisha mtoto basi uajiri personal trainer na sio tu just anybody.
Wasenge saanaWanawapeleka kwenye kina kirefu,anamwambia chagua nikuache apa au unipe mzigo,hawa jamaa wanawala Sana,Ila uyu punguani kwa mtoto wa miaka 8 anyongwe kabisa
Sio mabinti Tu mkuu...hata watoto wetu wakiume usiruhusu sijui kulala na ndugu au wajomba,au wageni wamekuja kwako kukutembelea wakalala na kijana wako.Wazaz tuwachunge sana mabinti zetu hasa Hawa wadogo, usimwani hata mjomba,sijui binamu nk dunia ishaharibika hii.
Sio kizungu, risk zipo kila sehemuUnadhani ukiwaita kwa kizungu "personal trainer" ndio inapunguza hatari kwa mwanao? Tena huyo atafanyia hapohapo nyumbani kwako usipokiwa makini
Sio wazazi wote wanajua kuogeleaPersonal trainer bado kuna shida bado watu hawaaminiki, cha muhimu mzazi wa kiume mfundishe wa kiume, mzazi wa kike ruka na wako wa kike kazi kwisha😁😁
Inaonekana kweli katenda na wamemshauri kubali yaishe na yameisha kweli, mtoto miaka nane aysee hii dunia kweli tupo mwishoni,,,Nimewaza aliamua nini kukiri? Au alitaka kwenda jela?
Maana kwa kesi hiyo uthibitisho ungekuwa mdogo, kesi ingeenda muda mrefu
Imani yako kubwa kwa shule zenye facilities za kisasa ndio itakuwa anguko lako. Somo usiamini yeyote.Sio kizungu, risk zipo kila sehemu
Ila atleast ukiajiri mtu maalum au kumpeleka shule zenye hizo mambo inapunguza risk.
Mara ya Kwanza kuona mwanamke akibakwa ni kawe beach enzi hizo za ujana,nilikuwa mtu wa beach sana maana nimetoka mkoani kuna bahari so nilikuwa napenda kuogelea tangu nikiwa mkoa..Miaka 8 kweli? Hiyo ni zaidi ya tamaa,kwanini asingesubiria kwanza wale wadada wakubwa...
Kuna uzi humu mrefu unajadili matukio haya cocobeach. Afadhali mmoja kafungwa, haitamaliza tatizo ila itatuma ujumbe kwa mabazazi waliosalia. Kikubwa watu wakienda beach waende kuinjoi maji na ufukwe waachane na masuala ya kujichanganya na strangers kwa sababu yoyote ile ikiwamo kufundishwa kuogeleaMara ya Kwanza kuona mwanamke akibakwa ni kawe beach enzi hizo kabla za ujana,nilikuwa mtu wa beach sana maana nimetoka mkoani kuna bahari so nilikuwa napenda kuogelea tangu nikiwa mkoa...
Kama alitorokea huko ukukweni mwenyewe au alienda na wenzieKwangu mm lawama zote nawapa Hao waliomkabidhi mtoto mdogo tena wakike kwa Huyo punguani ilikua Kuna ulazma gani wajifunze kuogelea mtu humjui mmekutana beach tu Ni ufedhuli wa hali ya juu Hapo wazaz watakua wanajilaumu Sana kwa hilo washenzi kabsa, ningekua ndugu wa hao ningeanza kudeal na aliemkabidhi MTOto...
Kuna Haja ya Serikali katika maeneo husika ,kuwa na Muongozo ,utakao elezea utaratibu wa Namna ya Kuwalinda Watoto wa kike katika Maeneo ya fukwe,Mara ya Kwanza kuona mwanamke akibakwa ni kawe beach enzi hizo kabla za ujana,nilikuwa mtu wa beach sn maana nimetoka mkoani kuna bahari so nilikuwa napenda kuogelea tangu nikiwa mkoa....
Beach za tanga walikataza kufundisha kuogelea kutokana na haya matukioMara ya Kwanza kuona mwanamke akibakwa ni kawe beach enzi hizo kabla za ujana,nilikuwa mtu wa beach sn maana nimetoka mkoani kuna bahari so nilikuwa napenda kuogelea tangu nikiwa mkoa...
Anakuachia gono na ukimwiNataman kuwe na beach girls anibake nipate raha miyee[emoji3060][emoji3060]
Jamaa ameponzwa na kazi yake ya u beach boy. Ni kama tu kazi ya ualimu ilivyo na majaribu. Ukiruhusu tu shetani akupitie, basi unakutana na mlango wa jela mbele yako.
Huyu beach boy muuaji mkubwa hajui athari aliyoicha kwa binti huyu na walimkabidhi mtoto kwa mtu huyu nao wanapaswa kujitafakariMahakama ya Wilaya Kinondoni Jijini Dar es Salaam, imemhukumu Dunia Suleman (36) maarufu P squre, kutumikia kifungo cha maisha jela, baada ya kupatikana na hatia ya kumbaka binti wa miaka nane.
Suleman, ambaye ni beach boy na mkazi wa Msasani wilaya ya Kinondoni, anadaiwa kumbaka binti huyo wakati akimfundisha kuogelea katika ufukwe wa Coco, uliopo Bahari ya Hindi.
Mshtakiwa huyo amehukumiwa kifungo hicho na Hakimu Mkazi Mkuu, Erick Rwehumbiza, baada ya mshtakiwa huyo kukiri shtaka lake. Pia, mahakama hiyo imetoa amri tube ya tairi ya gari, iliyotumika kutendea kosa hilo, iharibiwe. Akitoa hukumu hiyo, Hakimu Rwehumbiza alisema mshtakiwa ametiwa hatiani kama alivyoshtakiwa.
“Mahakama imekutia hatiani kama ulivyoshtakiwa baada ya kukiri shtaka la kubaka mtoto, hivyo utatumikia kifungo cha maisha jela ili iwe fundisho kwa wenzako,” alisema Rwehumbiza.
Awali, wakili wa serikali, Michael Shindai, aliiomba mahakama itoe adhabu kali dhidi ya mshtakiwa kwa kuwa vitendo vya ubakaji watoto vimekuwa vikiongezeka kila siku.
“Mheshiwa hakimu, kwa kuwa mshtakiwa amekiri shtaka lake mwenyewe bila kulazimishwa na mtu, naomba mahakama yako itoe adhabu kali kukomesha vitendo hivi,” aliongeza Shindai.
Pia upande wa mashtaka uliwasilisha vielelezo vinne ambavyo ni fomu ya PF3, maelezo ya onyo ya shahidi, hati ya gwaride la utambuzi na hati ya kuchukulia mali ambayo ni tube ya tairi la gari lilitumika kutendea kosa.
Kabla ya kupewa adhabu hiyo, Mahakama hiyo ilitoa nafasi kwa mshtakiwa kujitetea kwanini asipewe adhabu kali.nHata hivyo, mshtakiwa aliomba mahakama impunguzie adhabu kwa kuwa ni kosa lake la kwanza na kwamba alipitiwa na shetani.
“Naomba mama wa mtoto huyu, anisamehe sana, nilipitiwa na shetani, naomba msamaha,” alidai mshtakiwa.
Hakimu Rwehumbiza alitupilia mbali maombi ya mshtakiwa huyo na kumhukumu kifungo cha maisha jela.
Kwa mujibu wa hati ya mashtaka, P square anakabiliwa na kesi ya jinai namba 183/2022, mshtakiwa huyo anadaiwa kutenda kosa hilo Agosti 13, 2022 katika ufukwe wa Coco, uliopo wilaya ya Kinondoni. Inadaiwa siku hiyo ya tukio, Suleman anadaiwa kumbaka mtoto wa kike mwenye umri wa miaka 8, kinyume na kifungu 130(1)(2)e na kifungu 131(1) cha kanuni ya adhabu.
Wakili Shindai alidai kuwa mshtakiwa alipewa watoto wawili wa familia kuwafundisha kuogelea, lakini badala ya kuwafundisha alimchukua binti huyo na kumpeleka baharini na kisha kumbaka. Hata hivyo mshtakiwa baada ya kusomewa shtaka lake, alikiri na ndipo mahakama hiyo ilipomtia hatiani.
Kwa mara ya kwanza, mshtakiwa huyo alifikishwa katika Mahakama hiyo, Agosti 24 mwaka huu kujibu shtaka hilo.