Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizi habari za beach boy kuwalala watu bila ridhaa zipo miaka nenda rudi ila hawasikii watu hawa hasa wadada.
Tatizo wanawake nao hawapendani tu.. Hivi wanashindwa kujitokeza wanajeshi wawili watatu wa kike waende huko beach wamevaa kiraia, wajidai wanataka kufundishwa kuogelea. Wakifika kwenye maji marefu jamaa akianza kutaka kubaka unamfunga pingu mikono kwa nyuma NA KUMUACHA HAPO katikati ya bahari aonyeshe sasa umwamba wake wa kuogelea. Wakipotea kama 10 huo mchezo utaisha wenyewe wala hutakaa usikie tena.
Hao wanajeshi watakuwa makomandoo kutoka NAVY au vipi😅😅😅Tatizo wanawake nao hawapendani tu.. Hivi wanashindwa kujitokeza wanajeshi wawili watatu wa kike waende huko beach wamevaa kiraia, wajidai wanataka kufundishwa kuogelea. Wakifika kwenye maji marefu jamaa akianza kutaka kubaka unamfunga pingu mikono kwa nyuma NA KUMUACHA HAPO katikati ya bahari aonyeshe sasa umwamba wake wa kuogelea. Wakipotea kama 10 huo mchezo utaisha wenyewe wala hutakaa usikie tena.
Hiyo tube ina kOsa gani?Eti tube ya gari iliyotumika nayo iharibiwe mahakama bana.
Wazazi muwe karibu na wanenu, sio kumkabidhi yeyote na wewe unajua hamsini zako!Mahakama ya Wilaya Kinondoni Jijini Dar es Salaam, imemhukumu Dunia Suleman (36) maarufu P squre, kutumikia kifungo cha maisha jela, baada ya kupatikana na hatia ya kumbaka binti wa miaka nane.
Suleman, ambaye ni beach boy na mkazi wa Msasani wilaya ya Kinondoni, anadaiwa kumbaka binti huyo wakati akimfundisha kuogelea katika ufukwe wa Coco, uliopo Bahari ya Hindi.
Mshtakiwa huyo amehukumiwa kifungo hicho na Hakimu Mkazi Mkuu, Erick Rwehumbiza, baada ya mshtakiwa huyo kukiri shtaka lake. Pia, mahakama hiyo imetoa amri tube ya tairi ya gari, iliyotumika kutendea kosa hilo, iharibiwe. Akitoa hukumu hiyo, Hakimu Rwehumbiza alisema mshtakiwa ametiwa hatiani kama alivyoshtakiwa.
“Mahakama imekutia hatiani kama ulivyoshtakiwa baada ya kukiri shtaka la kubaka mtoto, hivyo utatumikia kifungo cha maisha jela ili iwe fundisho kwa wenzako,” alisema Rwehumbiza.
Awali, wakili wa serikali, Michael Shindai, aliiomba mahakama itoe adhabu kali dhidi ya mshtakiwa kwa kuwa vitendo vya ubakaji watoto vimekuwa vikiongezeka kila siku.
“Mheshiwa hakimu, kwa kuwa mshtakiwa amekiri shtaka lake mwenyewe bila kulazimishwa na mtu, naomba mahakama yako itoe adhabu kali kukomesha vitendo hivi,” aliongeza Shindai.
Pia upande wa mashtaka uliwasilisha vielelezo vinne ambavyo ni fomu ya PF3, maelezo ya onyo ya shahidi, hati ya gwaride la utambuzi na hati ya kuchukulia mali ambayo ni tube ya tairi la gari lilitumika kutendea kosa.
Kabla ya kupewa adhabu hiyo, Mahakama hiyo ilitoa nafasi kwa mshtakiwa kujitetea kwanini asipewe adhabu kali.nHata hivyo, mshtakiwa aliomba mahakama impunguzie adhabu kwa kuwa ni kosa lake la kwanza na kwamba alipitiwa na shetani.
“Naomba mama wa mtoto huyu, anisamehe sana, nilipitiwa na shetani, naomba msamaha,” alidai mshtakiwa.
Hakimu Rwehumbiza alitupilia mbali maombi ya mshtakiwa huyo na kumhukumu kifungo cha maisha jela.
Kwa mujibu wa hati ya mashtaka, P square anakabiliwa na kesi ya jinai namba 183/2022, mshtakiwa huyo anadaiwa kutenda kosa hilo Agosti 13, 2022 katika ufukwe wa Coco, uliopo wilaya ya Kinondoni. Inadaiwa siku hiyo ya tukio, Suleman anadaiwa kumbaka mtoto wa kike mwenye umri wa miaka 8, kinyume na kifungu 130(1)(2)e na kifungu 131(1) cha kanuni ya adhabu.
Wakili Shindai alidai kuwa mshtakiwa alipewa watoto wawili wa familia kuwafundisha kuogelea, lakini badala ya kuwafundisha alimchukua binti huyo na kumpeleka baharini na kisha kumbaka. Hata hivyo mshtakiwa baada ya kusomewa shtaka lake, alikiri na ndipo mahakama hiyo ilipomtia hatiani.
Kwa mara ya kwanza, mshtakiwa huyo alifikishwa katika Mahakama hiyo, Agosti 24 mwaka huu kujibu shtaka hilo.
--
Pia soma > Serikali iingilie kati juu ya Ubakaji unaoendelea Coco Beach jijini Dar!
Kwani personal trainer yeye Shetani la ubakaji hawezi muungia!!?Wazazi nao walaumiwe hapo na iwe funzo kwa wazazi wengine.
Kama ni kumfundisha mtoto basi uajiri personal trainer na sio tu just anybody.
NI lugha tu kuchezesha maneno hata mwamba kiingereza anaitwa personal trainer ndio maana alikabidhiwa watoto wa familia moja kuwafundisha kuogelea.Wazazi nao walaumiwe hapo na iwe funzo kwa wazazi wengine.
Kama ni kumfundisha mtoto basi uajiri personal trainer na sio tu just anybody.
Kwani mkuu hao beach boys ni trained assassins mpaka tuchukue makomandoo wa NAVY? Hao ni wachovu tu hawana lolote askari yoyote wa kike anawakamata kirahisi mno.Hao wanajeshi watakuwa makomandoo kutoka NAVY au vipi😅😅😅
Aisee umewaza kirahisi sana.
Swala hapa unapelekaje kongoro beach na kuogolea hujui!!!!si utulie au uendee beach z akulipia kusiko na huo uhuni!!??
Polisi nao wanajua haya ila RPC kinondoni na ndugu zako,mkaliangalie na hilli.
Inasikitisha sanaMahakama ya Wilaya Kinondoni Jijini Dar es Salaam, imemhukumu Dunia Suleman (36) maarufu P squre, kutumikia kifungo cha maisha jela, baada ya kupatikana na hatia ya kumbaka binti wa miaka nane.
Suleman, ambaye ni beach boy na mkazi wa Msasani wilaya ya Kinondoni, anadaiwa kumbaka binti huyo wakati akimfundisha kuogelea katika ufukwe wa Coco, uliopo Bahari ya Hindi.
Mshtakiwa huyo amehukumiwa kifungo hicho na Hakimu Mkazi Mkuu, Erick Rwehumbiza, baada ya mshtakiwa huyo kukiri shtaka lake. Pia, mahakama hiyo imetoa amri tube ya tairi ya gari, iliyotumika kutendea kosa hilo, iharibiwe. Akitoa hukumu hiyo, Hakimu Rwehumbiza alisema mshtakiwa ametiwa hatiani kama alivyoshtakiwa.
“Mahakama imekutia hatiani kama ulivyoshtakiwa baada ya kukiri shtaka la kubaka mtoto, hivyo utatumikia kifungo cha maisha jela ili iwe fundisho kwa wenzako,” alisema Rwehumbiza.
Awali, wakili wa serikali, Michael Shindai, aliiomba mahakama itoe adhabu kali dhidi ya mshtakiwa kwa kuwa vitendo vya ubakaji watoto vimekuwa vikiongezeka kila siku.
“Mheshiwa hakimu, kwa kuwa mshtakiwa amekiri shtaka lake mwenyewe bila kulazimishwa na mtu, naomba mahakama yako itoe adhabu kali kukomesha vitendo hivi,” aliongeza Shindai.
Pia upande wa mashtaka uliwasilisha vielelezo vinne ambavyo ni fomu ya PF3, maelezo ya onyo ya shahidi, hati ya gwaride la utambuzi na hati ya kuchukulia mali ambayo ni tube ya tairi la gari lilitumika kutendea kosa.
Kabla ya kupewa adhabu hiyo, Mahakama hiyo ilitoa nafasi kwa mshtakiwa kujitetea kwanini asipewe adhabu kali.nHata hivyo, mshtakiwa aliomba mahakama impunguzie adhabu kwa kuwa ni kosa lake la kwanza na kwamba alipitiwa na shetani.
“Naomba mama wa mtoto huyu, anisamehe sana, nilipitiwa na shetani, naomba msamaha,” alidai mshtakiwa.
Hakimu Rwehumbiza alitupilia mbali maombi ya mshtakiwa huyo na kumhukumu kifungo cha maisha jela.
Kwa mujibu wa hati ya mashtaka, P square anakabiliwa na kesi ya jinai namba 183/2022, mshtakiwa huyo anadaiwa kutenda kosa hilo Agosti 13, 2022 katika ufukwe wa Coco, uliopo wilaya ya Kinondoni. Inadaiwa siku hiyo ya tukio, Suleman anadaiwa kumbaka mtoto wa kike mwenye umri wa miaka 8, kinyume na kifungu 130(1)(2)e na kifungu 131(1) cha kanuni ya adhabu.
Wakili Shindai alidai kuwa mshtakiwa alipewa watoto wawili wa familia kuwafundisha kuogelea, lakini badala ya kuwafundisha alimchukua binti huyo na kumpeleka baharini na kisha kumbaka. Hata hivyo mshtakiwa baada ya kusomewa shtaka lake, alikiri na ndipo mahakama hiyo ilipomtia hatiani.
Kwa mara ya kwanza, mshtakiwa huyo alifikishwa katika Mahakama hiyo, Agosti 24 mwaka huu kujibu shtaka hilo.
--
Pia soma > Serikali iingilie kati juu ya Ubakaji unaoendelea Coco Beach jijini Dar!
Hili jambo leo wiki imepita toka niliamshe lakini wanaharakati wa kike wamekaa kimya wapo na kumpamba MakondaMahakama ya Wilaya Kinondoni Jijini Dar es Salaam, imemhukumu Dunia Suleman (36) maarufu P squre, kutumikia kifungo cha maisha jela, baada ya kupatikana na hatia ya kumbaka binti wa miaka nane.
Suleman, ambaye ni beach boy na mkazi wa Msasani wilaya ya Kinondoni, anadaiwa kumbaka binti huyo wakati akimfundisha kuogelea katika ufukwe wa Coco, uliopo Bahari ya Hindi.
Mshtakiwa huyo amehukumiwa kifungo hicho na Hakimu Mkazi Mkuu, Erick Rwehumbiza, baada ya mshtakiwa huyo kukiri shtaka lake. Pia, mahakama hiyo imetoa amri tube ya tairi ya gari, iliyotumika kutendea kosa hilo, iharibiwe. Akitoa hukumu hiyo, Hakimu Rwehumbiza alisema mshtakiwa ametiwa hatiani kama alivyoshtakiwa.
“Mahakama imekutia hatiani kama ulivyoshtakiwa baada ya kukiri shtaka la kubaka mtoto, hivyo utatumikia kifungo cha maisha jela ili iwe fundisho kwa wenzako,” alisema Rwehumbiza.
Awali, wakili wa serikali, Michael Shindai, aliiomba mahakama itoe adhabu kali dhidi ya mshtakiwa kwa kuwa vitendo vya ubakaji watoto vimekuwa vikiongezeka kila siku.
“Mheshiwa hakimu, kwa kuwa mshtakiwa amekiri shtaka lake mwenyewe bila kulazimishwa na mtu, naomba mahakama yako itoe adhabu kali kukomesha vitendo hivi,” aliongeza Shindai.
Pia upande wa mashtaka uliwasilisha vielelezo vinne ambavyo ni fomu ya PF3, maelezo ya onyo ya shahidi, hati ya gwaride la utambuzi na hati ya kuchukulia mali ambayo ni tube ya tairi la gari lilitumika kutendea kosa.
Kabla ya kupewa adhabu hiyo, Mahakama hiyo ilitoa nafasi kwa mshtakiwa kujitetea kwanini asipewe adhabu kali.nHata hivyo, mshtakiwa aliomba mahakama impunguzie adhabu kwa kuwa ni kosa lake la kwanza na kwamba alipitiwa na shetani.
“Naomba mama wa mtoto huyu, anisamehe sana, nilipitiwa na shetani, naomba msamaha,” alidai mshtakiwa.
Hakimu Rwehumbiza alitupilia mbali maombi ya mshtakiwa huyo na kumhukumu kifungo cha maisha jela.
Kwa mujibu wa hati ya mashtaka, P square anakabiliwa na kesi ya jinai namba 183/2022, mshtakiwa huyo anadaiwa kutenda kosa hilo Agosti 13, 2022 katika ufukwe wa Coco, uliopo wilaya ya Kinondoni. Inadaiwa siku hiyo ya tukio, Suleman anadaiwa kumbaka mtoto wa kike mwenye umri wa miaka 8, kinyume na kifungu 130(1)(2)e na kifungu 131(1) cha kanuni ya adhabu.
Wakili Shindai alidai kuwa mshtakiwa alipewa watoto wawili wa familia kuwafundisha kuogelea, lakini badala ya kuwafundisha alimchukua binti huyo na kumpeleka baharini na kisha kumbaka. Hata hivyo mshtakiwa baada ya kusomewa shtaka lake, alikiri na ndipo mahakama hiyo ilipomtia hatiani.
Kwa mara ya kwanza, mshtakiwa huyo alifikishwa katika Mahakama hiyo, Agosti 24 mwaka huu kujibu shtaka hilo.
--
Pia soma > Serikali iingilie kati juu ya Ubakaji unaoendelea Coco Beach jijini Dar!
Tunaomba serikali iongeze kifungu cha kuwakata Mbo** zao wakiwa gerezani.Mahakama ya Wilaya Kinondoni Jijini Dar es Salaam, imemhukumu Dunia Suleman (36) maarufu P squre, kutumikia kifungo cha maisha jela, baada ya kupatikana na hatia ya kumbaka binti wa miaka nane.
Suleman, ambaye ni beach boy na mkazi wa Msasani wilaya ya Kinondoni, anadaiwa kumbaka binti huyo wakati akimfundisha kuogelea katika ufukwe wa Coco, uliopo Bahari ya Hindi.
Mshtakiwa huyo amehukumiwa kifungo hicho na Hakimu Mkazi Mkuu, Erick Rwehumbiza, baada ya mshtakiwa huyo kukiri shtaka lake. Pia, mahakama hiyo imetoa amri tube ya tairi ya gari, iliyotumika kutendea kosa hilo, iharibiwe. Akitoa hukumu hiyo, Hakimu Rwehumbiza alisema mshtakiwa ametiwa hatiani kama alivyoshtakiwa.
“Mahakama imekutia hatiani kama ulivyoshtakiwa baada ya kukiri shtaka la kubaka mtoto, hivyo utatumikia kifungo cha maisha jela ili iwe fundisho kwa wenzako,” alisema Rwehumbiza.
Awali, wakili wa serikali, Michael Shindai, aliiomba mahakama itoe adhabu kali dhidi ya mshtakiwa kwa kuwa vitendo vya ubakaji watoto vimekuwa vikiongezeka kila siku.
“Mheshiwa hakimu, kwa kuwa mshtakiwa amekiri shtaka lake mwenyewe bila kulazimishwa na mtu, naomba mahakama yako itoe adhabu kali kukomesha vitendo hivi,” aliongeza Shindai.
Pia upande wa mashtaka uliwasilisha vielelezo vinne ambavyo ni fomu ya PF3, maelezo ya onyo ya shahidi, hati ya gwaride la utambuzi na hati ya kuchukulia mali ambayo ni tube ya tairi la gari lilitumika kutendea kosa.
Kabla ya kupewa adhabu hiyo, Mahakama hiyo ilitoa nafasi kwa mshtakiwa kujitetea kwanini asipewe adhabu kali.nHata hivyo, mshtakiwa aliomba mahakama impunguzie adhabu kwa kuwa ni kosa lake la kwanza na kwamba alipitiwa na shetani.
“Naomba mama wa mtoto huyu, anisamehe sana, nilipitiwa na shetani, naomba msamaha,” alidai mshtakiwa.
Hakimu Rwehumbiza alitupilia mbali maombi ya mshtakiwa huyo na kumhukumu kifungo cha maisha jela.
Kwa mujibu wa hati ya mashtaka, P square anakabiliwa na kesi ya jinai namba 183/2022, mshtakiwa huyo anadaiwa kutenda kosa hilo Agosti 13, 2022 katika ufukwe wa Coco, uliopo wilaya ya Kinondoni. Inadaiwa siku hiyo ya tukio, Suleman anadaiwa kumbaka mtoto wa kike mwenye umri wa miaka 8, kinyume na kifungu 130(1)(2)e na kifungu 131(1) cha kanuni ya adhabu.
Wakili Shindai alidai kuwa mshtakiwa alipewa watoto wawili wa familia kuwafundisha kuogelea, lakini badala ya kuwafundisha alimchukua binti huyo na kumpeleka baharini na kisha kumbaka. Hata hivyo mshtakiwa baada ya kusomewa shtaka lake, alikiri na ndipo mahakama hiyo ilipomtia hatiani.
Kwa mara ya kwanza, mshtakiwa huyo alifikishwa katika Mahakama hiyo, Agosti 24 mwaka huu kujibu shtaka hilo.
--
Pia soma > Serikali iingilie kati juu ya Ubakaji unaoendelea Coco Beach jijini Dar!
Wanawake someni hapoTatizo wanawake nao hawapendani tu.. Hivi wanashindwa kujitokeza wanajeshi wawili watatu wa kike waende huko beach wamevaa kiraia, wajidai wanataka kufundishwa kuogelea. Wakifika kwenye maji marefu jamaa akianza kutaka kubaka unamfunga pingu mikono kwa nyuma NA KUMUACHA HAPO katikati ya bahari aonyeshe sasa umwamba wake wa kuogelea. Wakipotea kama 10 huo mchezo utaisha wenyewe wala hutakaa usikie tena.
Duuuh! inasikitisha na uwezekano wa kuambuki zwa magonjwa ni mkubwa.Mara ya Kwanza kuona mwanamke akibakwa ni kawe beach enzi hizo za ujana,nilikuwa mtu wa beach sana maana nimetoka mkoani kuna bahari so nilikuwa napenda kuogelea tangu nikiwa mkoa..
Jamaa wawili wamempandisha mdada mmoja mkali Sana mweupee anaonekana km wa Arusha maana hajui kuogelea na Kiswahili cha chuga.Wahuni walianza nae mdogo mdogo wakimpetipeti Kama malkia yeye amejilaza Tu kwenye Ile tube, taratibu wanasogea nae maji makubwa.
Kuja kustuka wanebaki watatu tu tena wamejitenga mbali na watu..baada ya dakika Kama kumi binti anatapatapa pale kwenye tube Kwa mbaliii kumbe wahuni wanaichakata mbususu Kwa chini..Dakika mbili bibie anakuja nchi kavu huku macho yamemtoka km ngumi alafu mekundu balaa, wenzie aliokuja nao wanamuuliza vipi mbn upo hivyo,akawajibu tuondokeni huku machozi yanamlenga..Jamaa mmoja pembeni yangu akasema huyu tyr w*sh*mt©mb@ kule kwenye maji mengi ndiyo maana amepagawa hivi halafu hasemi tatizo
Mwingine nilishuhidia wakimbaka longoni beach,Kwa wanajeshi pale kigamboni,binti walimvuta Hadi kwenye ksiwa cha jiwe Fulani kubwa(wanaopajua longoni beach wanaelewa) wakamwambia hapa hatukurudishi na tairi tunalitoa hewa ukitaka Toa mzigo tuchakate.
Hizi beach ni hatari siyo Kwa watoto pekee Bali pia hata Kwa wadada/mabinti,wengi sn wanabakwa na hawasemi wansona aibu