'Beach boy' jela maisha kwa kumbaka mtoto akimfundisha kuogelea

Hao mabeach boy wanajua wanachofanya na malengo yao.kwanza uwa hawafundishi kuogelea.uwa na mapira yao na lengo ni kuwagonga mademu.watoto wa shule za secondary wamegongwa san a na hawasemi tu.
Ni kweli pale coco inasemekana wadada wengi wanabakwa kwa kufundishwa kuogelea ila wanaona aibu kusema ukweli wakirudi huku wanajikausha lakini inapaswa pale na beach polisi ambao wnaaangalia usalama wa vitendo vinavyoendelea mana pale panabeba mkusanyiko wa watu wengi mno
 
Naunga mkono.

Niliwahi kusema hivi hivi miaka kadhaa iliyopita hapa hapa JF kwenye uzi uliokuwa unalalamikia vitendo hivi.

Haiingii akilini mzazi/mlezi amkabidhi mtoto kwa Beach boy eti afundishwe kuogelea.

Nazielekeza lawama kwa mzazi/mlezi.
 
Eti tube ya gari iliyotumika nayo iharibiwe mahakama bana.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Karibu Tanzania mkuu
 
Iliingia?
 
Miaka 8 kweli? Hiyo ni zaidi ya tamaa,kwanini asingesubiria kwanza wale wadada wakubwa,awale kama wanavyowalaga mlemle majini,halafu ndiyo awafundishe hao watoto akiwa hana ashki?

Pole yake, jela hakuzoeleki.
Siku hizi sio kama zamani, watoto wanafutuka hatari, huyu miaka 8 tena atakuwa wa kishua ni mkubwa tu.
 
Hata kule mbezi beach
Yaani beach boy anakaa na pira lake kabisa kwa ajili hyo.na wanajisifu kuwagonga.kuna mtoto was kike mmoja alipotoka majini akasema anko alikuwa ananipa raha kweli.tukajua mtoto keshaharibiwa lakini utafanya nini
 
Ndio maana sipend kabisaaa maswala ya beach wala swimmingpool kulishana uchafuu mtupuuu
 
Anko alikuwa anammweka vidole uk ana ipalazia aisse wa2 noma sana
 
Inatakiwa pale coco beach kuogelea kupigwe marufuku
 
Wapo wengi sana hao wakora

Nakazia hukumu kila atakaedakwa basi atiwe ndani maisha bila kupewa haki ya kukata rufaa maana hilo kosa kubwa linaloumiza sana jamii yetu

Humo ndani asitoke huyo maana hua hawaachi watu km hao, mlamba asali alambi mara moja, akitoka tu atataka kulamba tena

Pole kwa familia, ndugu na Jamaa wa huyo binti
 
Hizi habari za beach boy kuwalala watu bila ridhaa zipo miaka nenda rudi ila hawasikii watu hawa hasa wadada.
 
Watoto wakishua hao ambao mama zao washazoea kufanyiwa kila kitu na house girl mtoto wa kulumanzira hawezi fanya huo upuuzi.
 
Naunga mkono.

Niliwahi kusema hivi hivi miaka kadhaa iliyopita hapa hapa JF kwenye uzi uliokuwa unalalamikia vitendo hivi.

Haiingii akilini mzazi/mlezi amkabidhi mtoto kwa Beach boy eti afundishwe kuogelea.

Nazielekeza lawama kwa mzazi/mlezi.
Kwa hawa wazazi wa dot.com si jambo la kushangaza kumkabidhi mtoto kwa mtu asiyemjua......akili kisoda na kujitia uzungu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…