'Beach boy' jela maisha kwa kumbaka mtoto akimfundisha kuogelea

Sasa mtoto wa miaka 8ana utamu gani
 
Hizi habari za beach boy kuwalala watu bila ridhaa zipo miaka nenda rudi ila hawasikii watu hawa hasa wadada.

Tatizo wanawake nao hawapendani tu.. Hivi wanashindwa kujitokeza wanajeshi wawili watatu wa kike waende huko beach wamevaa kiraia, wajidai wanataka kufundishwa kuogelea. Wakifika kwenye maji marefu jamaa akianza kutaka kubaka unamfunga pingu mikono kwa nyuma NA KUMUACHA HAPO katikati ya bahari aonyeshe sasa umwamba wake wa kuogelea. Wakipotea kama 10 huo mchezo utaisha wenyewe wala hutakaa usikie tena.
 

Umetisha sana
 
Hao wanajeshi watakuwa makomandoo kutoka NAVY au vipi😅😅😅
Aisee umewaza kirahisi sana.

Swala hapa unapelekaje kongoro beach na kuogolea hujui!!!!si utulie au uendee beach z akulipia kusiko na huo uhuni!!??

Polisi nao wanajua haya ila RPC kinondoni na ndugu zako,mkaliangalie na hilli.
 
Huyu siyo BONGE wa Coco Beach? Msichana wa miaka 8? Aisee ningekuwa baba mtu ningeua hapohapo.
 
Wazazi muwe karibu na wanenu, sio kumkabidhi yeyote na wewe unajua hamsini zako!
 
Wazazi nao walaumiwe hapo na iwe funzo kwa wazazi wengine.

Kama ni kumfundisha mtoto basi uajiri personal trainer na sio tu just anybody.
Kwani personal trainer yeye Shetani la ubakaji hawezi muungia!!?
 
Wazazi nao walaumiwe hapo na iwe funzo kwa wazazi wengine.

Kama ni kumfundisha mtoto basi uajiri personal trainer na sio tu just anybody.
NI lugha tu kuchezesha maneno hata mwamba kiingereza anaitwa personal trainer ndio maana alikabidhiwa watoto wa familia moja kuwafundisha kuogelea.
 
Jamaa alidhani akisema ukweli sheria itamuonea hurumaaa ila kiukweli beach boy asilimia 95 ni wabakajiii... wanatumia nafasi hii kuwabaka wanawake wengi sana na wengi huwa hawasemi ila huyu sababu ni mtoto ukute aliropoka ndo wazazi wakajua.
 
wazazi tuwe na uangalizi sana kwa watt wetu sio lazima akafundishwe huko coco kila siku kunasikika matendo machafu yanafanyika huko tafuta sehemu ambapo unaweza lipa mtu pro. akamfundisha mwanao hao ma bichi boi hawana wldi w akazi yao mtu ana 34 anamatendo ya kinyama hivyo wakati naweza akawa na mtt wa umri huo huo
 
Kwani mkuu hao beach boys ni trained assassins mpaka tuchukue makomandoo wa NAVY? Hao ni wachovu tu hawana lolote askari yoyote wa kike anawakamata kirahisi mno.

Ingetokea akabakwa mtoto wa mkubwa fulani ungeshangaa jinsi beach boys wote wangesombwa ndani ya masaa machache usingeona hata mmoja..
 
Inasikitisha sana
 
Hili jambo leo wiki imepita toka niliamshe lakini wanaharakati wa kike wamekaa kimya wapo na kumpamba Makonda
 
Tunaomba serikali iongeze kifungu cha kuwakata Mbo** zao wakiwa gerezani.
 
Wanawake someni hapo
 
Duuuh! inasikitisha na uwezekano wa kuambuki zwa magonjwa ni mkubwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…