Plot4Sale Beach Plot Nunge Bagamoyo Mjini

Kwa nini nitumie $2 mil kununua kiwanja Bagamoyo? Kwa pesa hiyo nitanunua mjengo London ama Tokyo ama New York. Nikanunue kiwanja cha minazi kijijini kwa pesa hiyo? Ukimpata, mtu angalia hiyo pesa vizuri. Itakuwa feki. Unless unambie kuna Tanzanite huko ardhini.
 
Kwa vile wanadamu hatufanani malengo na mitazamo, naheshimu mawazo yako mkuu 🙏🏾 Omusolopogasi
 
Zao hizo madalali. Utakuta mwenye kiwanja anataka mil 50/=. Yeye anaomba bilioni 4.5/=!! Crazy, isn't? Wanafikiri na sisi tunapata pesa kwa kudanganya watu thamani ya huduma na assets zetu.
Acheni ufala...hii ardhi Ni ya Mungu ametuumbia wanadamu wote....kwanini muiuze bei hivo??
 
Kwa nini nitumie $2 mil kununua kiwanja Bagamoyo? Kwa pesa hiyo nitanunua mjengo London ama Tokyo ama New York. Nikanunue kiwanja cha minazi kijijini kwa pesa hiyo? Ukimpata, mtu angalia hiyo pesa vizuri. Itakuwa feki. Unless unambie kuna Tanzanite huko ardhini.
Kwa vile wanadamu hatufanani malengo na mitazamo, naheshimu mawazo yako mkuu 🙏🏾 Omusolopogasi
Siku ukiuza kwa $2 mil kwa pesa ambayo siyo feki, njoo utoe
Mkuu umekazania kwenye Pesa feki as if Cash is the only mode of payment. Anyways, kam nilivyosema tunatofautiana malengo na mitazamo.
 
Zao hizo madalali. Utakuta mwenye kiwanja anataka mil 50/=. Yeye anaomba bilioni 4.5/=!! Crazy, isn't? Wanafikiri na sisi tunapata pesa kwa kudanganya watu thamani ya huduma na assets zetu.
Bahati nzuri au mbaya sijawahi kufanya biashara ya udalali maishani mwangu😎. Kwa hio siwezi kuwasemea madalali Omusolopogasi
 
Huo ni msisitizo kwamba kama mtu ana pesa halali aliyoitolea jasho, haupati hiyo pesa unayodai. Kwa nini asiende kununua mgodi wa dhahabu aje anunue minazi na mchanga wa Bagamoyo? Kama kina thamani kubwa hivyo, kitunze tu ili uwendelee kutunza bilion 4.5/= yako ama vipi? Viwanja huwa vinapanda bei. Baada ya miaka 5 kitakuwa $5 milion. Bakhresa na Mo Dewji watanunua.
Mkuu umekazania kwenye Pesa feki as if Cash is the only mode of payment. Anyways, kam nilivyosema tunatofautiana malengo na mitazamo.
 
Huo ni msisitizo kwamba kama mtu ana pesa halali aliyoitolea jasho, haupati hiyo pesa unayodai. Kwa nini asiende kununua mgodi wa dhahabu aje anunue minazi na mchanga wa Bagamoyo? Kama kina thamani kubwa hivyo, kitunze tu ili uwendelee kutunza bilion 4.5/= yako ama vipi? Viwanja huwa vinapanda bei. Baada ya miaka 5 kitakuwa $5 milion. Bakhresa na Mo Dewji watanunua.
Wewe unaona minazi na mchanga kwa sababu ndio ukomo wa uono wako ulipofika. Mimi pia sina tofauti kubwa sana na wewe. Ila binafsi nawafahamu watu wawili ambao wana maono ya tofauti Kabisa na tunayowaza mimi na wewe na wengine wengi juu ya kitu gani wangeweza kufanya kwenye ardhi hio. Infact hio $2 mil would be nothing if they were to have a successful project.
 
Kaka sio kwamba napinga hiyo pesa ila hamna mwenye strategic investment anae weza kuwekaza 4.5bn kwenye aridhi tu, atakua mpumbavu sana, kwasababu ukiwa na $1.5m na unaenda Tanzania investment authority ukiwambia nataka ku inject hicho kiasi hapa Tz nataka aridhi kutoka serikalini, wanakuuliza unataka wapi? Tena wanakupa tax holiday kwa miaka 5. Kwaninini weke pesa yangu hapo.
 
Umeongea vizuri
 
Jamaa kaambiwa akipata $2 mil atapewa $1 mil. Siyo rahisi hivyo. Kama ni rahisi hivyo anunue yeye.
Kaka sio kwamba napinga hiyo pesa ila hamna mwenye strategic investment anae weza kuwekaza 4.5bn kwenye aridhi tu, atakua mpumbavu sana, kwasababu ukiwa na $1.5m na unaenda Tanzania investment authority ukiwambia nataka ku inject hicho kiasi hapa Tz nataka aridhi kutoka serikalini, wanakuuliza unataka wapi? Tena wanakupa tax holiday kwa miaka 5. Kwaninini weke pesa yangu hapo.
 
Kila la heri... Utatajirika kwa mchanga na minazi hiyo. Nakuombea.
Wewe unaona minazi na mchanga kwa sababu ndio ukomo wa uono wako ulipofika. Mimi pia sina tofauti kubwa sana na wewe. Ila binafsi nawafahamu watu wawili ambao wana maono ya tofauti Kabisa na tunayowaza mimi na wewe na wengine wengi juu ya kitu gani wangeweza kufanya kwenye ardhi hio. Infact hio $2 mil would be nothing if they were to have a successful project.
 
Nyie watu bana shilling 4.5bn kwa aridhi ilioko bagamoyo 65km kutoka mjini kati kwahiyo pesa ata Chicago beach USA unaipata hiyo aridhi.........watanzania hatajui value ya pesa tunatamka tu bei
Tunaojua thamani ya beach plot na hatuna hela ndio tunajua huo uchungu sasa wewe endelea kukaza tu by the way vikindu unapata heka laki saba
 
Kaka sio kwamba napinga hiyo pesa ila hamna mwenye strategic investment anae weza kuwekaza 4.5bn kwenye aridhi tu, atakua mpumbavu sana, kwasababu ukiwa na $1.5m na unaenda Tanzania investment authority ukiwambia nataka ku inject hicho kiasi hapa Tz nataka aridhi kutoka serikalini, wanakuuliza unataka wapi? Tena wanakupa tax holiday kwa miaka 5. Kwaninini weke pesa yangu hapo.
Sawa mkuu. Hamna haja ya kuumiza kichwa sana. Mbweni kuna beach, vivyo hivyo Ununio, Kunduchi, Mbezi, Kawe, Msasani, Masaki, Upanga, Kigamboni etc. Na zote ziko kwenye mwambao mmoja kwa karibu kabisa ila value hazifanani. Kwa nini? That’s your HOMEWORK.
 
Tunaojua thamani ya beach plot na hatuna hela ndio tunajua huo uchungu sasa wewe endelea kukaza tu by the way vikindu unapata heka laki saba
naomba unielekeze hyo heka laki saba ya vikindu
 
Viwanja vilivyopimwa vinauzwa Kingani Beach Bagamoyo Mjini (karibu na makazi ya Kadinali Pengo). Ni umbali wa 4km kutoka stendi kuu ya Mabasi Bagamoyo. Viwanja vina ukubwa wa size tofauti tofauti baina ya sqm 700-1400. Bei kwa sqm moja ni Sh 19,000/=.

Wasiliana nami kupitia namba 0687320462.

5400D659-B18A-4C14-B3DD-D137C7165176.jpeg

6043E6A6-213B-49FC-AAEF-3AD1D0C90337.jpeg

2129E94A-4009-4AD0-8DB7-D22CD86AE044.jpeg
 
Back
Top Bottom