Jodoki Kalimilo
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 12,559
- 11,180
Inaumiza alafu sasa watu baki wanakuwa ma-baba / mama washauri kwamba "msaidieni ndugu yenu"....na kwenye maisha unakutana na watu baki wengi wazuri unakuta mnapeana support, sasa ndo hapo ndio inapoonekana una support watu baki na si nduguComment yako imenigusa sana. Pia mimi nina mdogo wangu ambaye hata ukitaka umsaidie inakuwa ngumu sana kwasababu yeye mwenyewe haelewi anataka nini.