Apollo tyres
Senior Member
- Nov 16, 2024
- 109
- 286
Nawaambia walokole na watu wote mnaopata Sana mikosi
Hakuna kitu kinarudisha nyuma Kama uzinzi .
Dhambi ya uzinzi inaondoa kibali na unabaki kuwa mtu wa kawaida ambaye hauna impact yoyote.
Beatrice Mwaipaja -uzinzi ndo umekufikisha hapo na sio huyo shetani wala mapepo .
Kupata kibali cha kupendwa na kukubalika lazima uwe msafi Sana au uwe mzee black kikweli kweli.
Na wadada wote mliokosa ndoa na mnaolalamika kukosa kibali acheni uzinzi . mtapata mnachokitafuta.