Beatrice Mwaipaja, ukitaka kupona tafuta mwanaume uolewe na uachane kabisa na uzinzi

Ya faraghani yanapofunuliwa upenuni😭
 
Simlaumu Martha kwa tuhuma za u Lesbos,

Km ni kweli, imetokana na yeye kupoteza hisia kwa wanaume jumla, kwani kumfumania mume na mdogo wako, inauma na sio rahisi kusamehe, akaamua aangalie wa upande wake.

Pia inaweza isiwe kweli, ikawa ni tuhuma tyuuh. Lol
 
Moja ya hitaji la msingi kwenye maisha ya binadamu ni ngono. Kila mmoja aliyevunja ungo na kubalehe anahitaji kufanya ngono ili ubongo ukae sawa aweze kupambana na maisha ya dunia hii. Bila kujali msimamo wa kidini uwe kwenye ndoa au single wote tunafanya kasoro wagonjwa tu.
 
Aoelewe na nani sasa, aliyeweza kuachika akaolewa tena akaachika akaolewa tena ni marehemu Dida peke yake
Lazima kuna kitu "Special" alikuwa anawapa wanaume...Ndio maana akaolewa mara zote hizo......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…