Waterbender
JF-Expert Member
- Oct 2, 2018
- 7,573
- 10,063
nikitaka nishangae yan ww wakuwa rohoni😂😂😂😂Kijito cha utakaso aliua sana
Nkiskilizaga tu nakua wa rohoni kwel kwel 😁shida enyge zinanitoa upako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nikitaka nishangae yan ww wakuwa rohoni😂😂😂😂Kijito cha utakaso aliua sana
Nkiskilizaga tu nakua wa rohoni kwel kwel 😁shida enyge zinanitoa upako
🤣🤣Mkuu ni hii fake ID tu nakua comfortable sema ningeeendelea vle nlikuwa naishi home aisee ningekua upcoming bagonza, nlikuwa nasali vbya sana nlivobalehe nikajua Mombasa highway aisee upepo Kwa kiasi flan ulibadilikanikitaka nishangae yan ww wakuwa rohoni😂😂😂😂
Wengi tulikuwa hivo sema mbususu zimetuharibu, Na ukiijua kwel siku ukienda kinyume hata nafsi yako inakukataa huwez kusali, ukute na toto la kidigo lilikushow uhaini mkubwa,ukapewa hadi vya mwiko hutoboi😂😂🤣🤣Mkuu ni hii fake ID tu nakua comfortable sema ningeeendelea vle nlikuwa naishi home aisee ningekua upcoming bagonza, nlikuwa nasali vbya sana nlivobalehe nikajua Mombasa highway aisee upepo Kwa kiasi flan ulibadilika
Fundi sanaJamani dada unajua kuimba Tenzi za rohoni mpaka unajua tena, yaani unaziimba Kwa utulivu wa kipekee sana, huna kiranga cha kubadilisha tune wala Nini, unatoa vitu original kabisaa, yaani kila wimbo ulioimba umetendea Haki...
Naomba upokee tu maua Yako ungali hai, Mungu kakujalia uzuri wa Sura, Sauti na Utulivu....
Umenipigia
1.Kombolewa
2.Kwa Calvary
3.Kumtegemea Mwokozi
4.Yesu kwetu ni rafiki
5.Mwana wa Mungu
6.Kijito Cha utakaso
Au niseme tu umeimba tenzi yote Kwa viwango vya juu sana....Barikiwa sana Binti wa Mwaipaja
View attachment 2725742
Daah tumeonywa tusihukumu tusije tukahukumiwa sisi,ila daaaah gigy mlokole kazingua sana😅Shetani anawajua walio wake, mpaka sasa baba mlezi wa kiimani kwa Gigy Money hapokei simu zetu.
Prophet Malisa anatakiwa ajibu swali hili...... "je Gigy Money aliokoka asubuhi jioni akarudi kwa shetani?"
Wadada wanaoimba tenzi za rohoni wananikosha roho ni mafundi sanaAnatisha
ntakua wa kwanza kununua CD😂Kanifanya nitamani kuingia studio nionyeshe uwezo wangu kwenye hiyo sekta 😅😅😅🏃🏃
hahaaOooh glory to God!!!!japo sijaelewa Hilo cheko lako la umbea linamaanishaje😥😅
Mara nyingi tu nimeangukia kwenye dhambi na bado kuna mazingira naona kbs Mungu kanisaidia pakubwa sema ndo hvo siwezi leta nyuzi za shuhuda humu ila niwaambie naogelea kwenye neeemaYuko wengi,sema Nini bado tuna Nguvu ya kuushinda ulimwengu,ni maamuzi tu
Nlivopiga show ya kwanza ile 🎶nimekufungulia Dunia kua unachotaka🎶 aiseee nlijuta kinoma naona kbs nshazingua parefu....sijui ni issue ya kisaikolojia mi natafsiri kiimani lkn namkumbuka kbs kulikuwa na intrinsic force inaniambia kbs usifanye lkn sasa nikiwaza majamaa zangu wanavosimulia utamu 🤔Wengi tulikuwa hivo sema mbususu zimetuharibu, Na ukiijua kwel siku ukienda kinyume hata nafsi yako inakukataa huwez kusali, ukute na toto la kidigo lilikushow uhaini mkubwa,ukapewa hadi vya mwiko hutoboi😂😂
Acha uongo Kila comment unareply wewe! Ingekuwa ni Chawa ungeshaachia page ya tatu tu.Msimsingizie dada wa watu,mimi ni chawa wake😅😅😅
Basi tufanye Mimi ndio Beatrice,na ukipitia kwenye Uzi wangu wa J Melody mi nitakuwa J melody,nikirudi Kwa Konde mi ndio Jeshi mwenyewe,na Uzi wangu wa Zuchu mi ndio Zuchu......hapo vipi?Acha uongo Kila comment unareply wewe! Ingekuwa ni Chawa ungeshaachia page ya tatu tu.
Jamani...wote? Wote kabisa?Hivi hawa watu ktk hii tasnia kwanini woote ndoa zao zimekufa!?? Why!??