Beatrice Mwaipaja

Beatrice Mwaipaja

nikitaka nishangae yan ww wakuwa rohoni😂😂😂😂
🤣🤣Mkuu ni hii fake ID tu nakua comfortable sema ningeeendelea vle nlikuwa naishi home aisee ningekua upcoming bagonza, nlikuwa nasali vbya sana nlivobalehe nikajua Mombasa highway aisee upepo Kwa kiasi flan ulibadilika
 
Wengi tulikuwa hivo sema mbususu zimetuharibu, Na ukiijua kwel siku ukienda kinyume hata nafsi yako inakukataa huwez kusali, ukute na toto la kidigo lilikushow uhaini mkubwa,ukapewa hadi vya mwiko hutoboi😂😂
 
Jamani dada unajua kuimba Tenzi za rohoni mpaka unajua tena, yaani unaziimba Kwa utulivu wa kipekee sana, huna kiranga cha kubadilisha tune wala Nini, unatoa vitu original kabisaa, yaani kila wimbo ulioimba umetendea Haki...

Naomba upokee tu maua Yako ungali hai, Mungu kakujalia uzuri wa Sura, Sauti na Utulivu....

Umenipigia
1.Kombolewa
2.Kwa Calvary
3.Kumtegemea Mwokozi
4.Yesu kwetu ni rafiki
5.Mwana wa Mungu
6.Kijito Cha utakaso

Au niseme tu umeimba tenzi yote Kwa viwango vya juu sana....Barikiwa sana Binti wa Mwaipaja
View attachment 2725742
Fundi sana
 
Shetani anawajua walio wake, mpaka sasa baba mlezi wa kiimani kwa Gigy Money hapokei simu zetu.

Prophet Malisa anatakiwa ajibu swali hili...... "je Gigy Money aliokoka asubuhi jioni akarudi kwa shetani?"
Daah tumeonywa tusihukumu tusije tukahukumiwa sisi,ila daaaah gigy mlokole kazingua sana😅
 
Yuko wengi,sema Nini bado tuna Nguvu ya kuushinda ulimwengu,ni maamuzi tu
Mara nyingi tu nimeangukia kwenye dhambi na bado kuna mazingira naona kbs Mungu kanisaidia pakubwa sema ndo hvo siwezi leta nyuzi za shuhuda humu ila niwaambie naogelea kwenye neeema
 
Wengi tulikuwa hivo sema mbususu zimetuharibu, Na ukiijua kwel siku ukienda kinyume hata nafsi yako inakukataa huwez kusali, ukute na toto la kidigo lilikushow uhaini mkubwa,ukapewa hadi vya mwiko hutoboi😂😂
Nlivopiga show ya kwanza ile 🎶nimekufungulia Dunia kua unachotaka🎶 aiseee nlijuta kinoma naona kbs nshazingua parefu....sijui ni issue ya kisaikolojia mi natafsiri kiimani lkn namkumbuka kbs kulikuwa na intrinsic force inaniambia kbs usifanye lkn sasa nikiwaza majamaa zangu wanavosimulia utamu 🤔
 
Acha uongo Kila comment unareply wewe! Ingekuwa ni Chawa ungeshaachia page ya tatu tu.
Basi tufanye Mimi ndio Beatrice,na ukipitia kwenye Uzi wangu wa J Melody mi nitakuwa J melody,nikirudi Kwa Konde mi ndio Jeshi mwenyewe,na Uzi wangu wa Zuchu mi ndio Zuchu......hapo vipi?

By the way we unasikia uchungu gani Mimi Nike reply kwenye Uzi nilionzisha mwenyewe,?nimeanzisha Convo watu wakirespond mi nikimbie Nini Sasa?be Positive
 
Back
Top Bottom