"Bebi niazime gari leo, nina mizunguko flani". Hiki kikombe mnakiepukaje wadau?

Unafikiri ni kila mtu anapenda ati asiwe na usafiri?! Wakati wake ukifika na yeye atanunua pia, naamini hata wewe hukuwa nalo mwanzoni ila muda ulifika ukanunua.

Changudoa ni tofauti na mpenzi wako na ndo maana ukasema ni chagudoa yeye yuko kazini. Ndo maana mleta mada hajasema ni changudoa! Na hakuna mwanamke anayemvulia mwanaume nguo eti juu ya starehe tuu yapite, yeye anajua wana malengo ya kuwa pamoja, sema wengi wenu ndo mnaona ni kwa starehe kama mleta mada hapa.

Ndio wapo wadada weeengi wenye usafiri lakini haikuja kwa mara moja lazima kujipanga na kujikusanya pia! Na yeye naamini kuna siku atatembelea usafiri wake! Kwa kipindi hiki ambacho hana amuazime
 
Sio swala thamani sisy..huyu mtu hata haja commit kwangu,soon anasepa au hata anataka ka gari kangu ka mkopo akamuone bebi wake huko..kuna masuala ya dharura hayo kama ndugu mnasaidiana ila vingine dada ngoja nijitahidi niache uchoyo.ila kwasasa bado
Kwani analipeleka wapi?! Si atarudisha ama?! Tatizo mnakuwa kwenye mahusiano mguu nje mguu ndani, ndo maana vilio haviishi. Sasa mpaka mshakulana mna miezi kadhaa mpo pamoja tena mtu anakuambia kabisaaa naenda sehemu fulani daaah!!! Sawa bwana
 
yaani sis ukitaka usiumie relationship za siku DO NOT COMMIT!hiyo mguu ndani mguu nje ndo pain killer yenyewe!nyie mkishajua mtu katua mabegi mnashikika basi??!!
 
hahaaaa mkuu unataka kuanzisha MUSEUM"""?
 
Jifunze kuwa na majibu mafupi yenye maana kamili, mfano juzi kati mama ako mdogo aliniambia nimkopeshe 150, jibu lake lilikuwa huwa sikopeshi wanawake. Ningekuwa wewe ningemwambia huwa simpi gari mwanamke PERIOD....
 
Hivyo ulivyoandika inaonyesha una matatizo.
Na hata kisaikolojia hauko poa....una vikompleksi flani vya kipuuzi.
 
hahaha mwambie akachukue la baba YAKE kama analo mamaeee""
Dinga haina hata scratch,kwa jins inavyopendwa,..sis watoto wakiume tunapenda magar,..ts our toys toka enz magar ya udongo,so mtu akishangaa navopenda ndinga yangu simwelew kabsa
 
Jifunze kuwa na majibu mafupi yenye maana kamili, mfano juzi kati mama ako mdogo aliniambia nimkopeshe 150, jibu lake lilikuwa huwa sikopeshi wanawake. Ningekuwa wewe ningemwambia huwa simpi gari mwanamke PERIOD....
Hahahah,nmecheka sana,blaza we nuks.[emoji23][emoji23]
 
Dinga haina hata scratch,kwa jins inavyopendwa,..sis watoto wakiume tunapenda magar,..ts our toys toka enz magar ya udongo,so mtu akishangaa navopenda ndinga yangu simwelew kabsa
kweli kwli aisee...hahaaa
 
Sasa si usimpe jamani,maana naona ushasema haupi sasa sijui tunatakiwa kushauri nini hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…