Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,448
Unafikiri ni kila mtu anapenda ati asiwe na usafiri?! Wakati wake ukifika na yeye atanunua pia, naamini hata wewe hukuwa nalo mwanzoni ila muda ulifika ukanunua.hivi mtu akikuvulia nguo maana yake anakuthamini... machangudoa je wanathamini wangapi? kabla hajanivulia nguo mimi na yeye ameshavulia wangapi,, je anawathamini wangapi?
kwenye swala la kuvuana nguo ni sababu za kibaiolojia.. isiwe kisingizio cha kupewa kila kitu.. kama ni rahisi na anapenda why asijinunulie .. kuna wanawake wangapi wanajinunulia magari kila siku.. why wao waweze yeye hasiweze na sio mlemavu ? mambo ya kuvuana nguo ni nyege zetu ke na me.. kiasi hata asingevua kwangu mimi angevua kwa mwingine tu
hiyo sababu ina mashiko kama amekuvulia kukupatia usichana wake wewe..
Changudoa ni tofauti na mpenzi wako na ndo maana ukasema ni chagudoa yeye yuko kazini. Ndo maana mleta mada hajasema ni changudoa! Na hakuna mwanamke anayemvulia mwanaume nguo eti juu ya starehe tuu yapite, yeye anajua wana malengo ya kuwa pamoja, sema wengi wenu ndo mnaona ni kwa starehe kama mleta mada hapa.
Ndio wapo wadada weeengi wenye usafiri lakini haikuja kwa mara moja lazima kujipanga na kujikusanya pia! Na yeye naamini kuna siku atatembelea usafiri wake! Kwa kipindi hiki ambacho hana amuazime