"Bebi niazime gari leo, nina mizunguko flani". Hiki kikombe mnakiepukaje wadau?

Inahitaji moyo sana kumuazima mtu gari yako hasa kama unaipenda sana gari yako na unaitunza katika matunzo ya hali ya juu. Sifanyagi huo mchezo ni bora nikupe pesa ya uber/taxi uende uendako kuliko kukuazima gari yangu.

Ukimpa aki haribu hata taa au hata pancha ujue garama ni juu yako.
Hii inakera Sana.
Siwez Fanya ujinga huo.
Na bora uhusiano uishe

Naunga mkono hoja
√√√√√√√π√
 
Inahitaji moyo sana kumuazima mtu gari yako hasa kama unaipenda sana gari yako na unaitunza katika matunzo ya hali ya juu. Sifanyagi huo mchezo ni bora nikupe pesa ya uber/taxi uende uendako kuliko kukuazima gari yangu.
Nashkuru sana mkuu,nilidhan niko peke yangu
 
Reactions: BAK
Mwombe umsindikize ktk hiyo mizunguko, hapo utaondoa utata na utaonyesha kujali zaidi.
 
Kwani mkuu kwani Passo ni kiasi gani mchukulie yake Baby naye awe anatumwagia maji machafu sisi wa Tz 11
 
Kama promotion ya maisha vile how umesoma hadi chuo na mengineyo vipi hujapata kazi.
 
Afu ikitokea kaharibu akija lazima ajichekeshe chekeshe[emoji28][emoji4][emoji28]

Utasikia bebi yani sjui hata huko bara barani kupoje.
Kuna mjinga kanigonga bahati mbaya hapo mbele pame bonyea na taa zima vunjika..
Kudaaa deki

Mbavu zake lazima kwangu aka mlete alo m'bamiza
 
Inahitaji moyo sana kumuazima mtu gari yako hasa kama unaipenda sana gari yako na unaitunza katika matunzo ya hali ya juu. Sifanyagi huo mchezo ni bora nikupe pesa ya uber/taxi uende uendako kuliko kukuazima gari yangu.

Hapo unakua umemaliza utata
Kila MTU aheshimu Mali ya mwenzie
Mapenzi mwisho kitandani
Kwenye gari sjui biashara huko hakunaga u bebi bebi kiboya
 
Reactions: BAK
Na uzee wangu huu sijawahi kusikia hii kwa kweli
Jf kuna story za aina aina kila wakati unalazimika kuongeza vipya
 
Mwulize anaenda kumzungusha nani? Kwa masaa mangapi?
 
Panama tu na Hali yako huko uliko. Tushirikishane swala Kama tunfanyeje siku ya Maandamano
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…