"Bebi niazime gari leo, nina mizunguko flani". Hiki kikombe mnakiepukaje wadau?

Mambo yote hayo ya kuona gari ni kila kitu mpaka tunaweka hadith zake ni hao TRA na makadilio yao makubwa kwa vitu vya kawaida tuu...gari hazina hata chasis tunazianzishia Uzi naamini maisha yanabadilika ipo siku yatakua ya kawaida tuu nakumbuka miaka ya nyuma nilipokua chalii nilienda ofisini kwa mama waliniambia tunapitia Computer room tuvue Viatu ila leo computer zimekua za kawaida na hatuvui Viatu tena sehemu zilipo...pia itakuja kwenye Magari yakiwa ya kawaida mtaazimana na hata uliempa umsumbui sumbui na Simu kwa sababu ni kitu cha kawaida...tutafika tuu huko...
 
Mwanangu kumbe ww ni team fisi,ila uwe unakumbuka kukivisha kichwa cha chini kofia kabla hujaanza kugegeda tusijepoteza nguvu kazi ya taifa!
 
Mkuu,wenzetu Waganda washafka huko kitambo sana,kumiliki ndinga Kali kwa Uganda siyo jambo jipya tena!
 
Siyo KARNE HII MKUU, ITAKUA BAADAE SANA
 
Hii ni mtu na mtu. Watu kibao wanaazimana magari tena ya maana wanasafiri nayo. Ni vitu vya kawaida tu kwa wengine.
 
Kwa dharau zako sikutaka hata nikushauri !!...Lakini nimegundua yaweza kuwa kuna mtu mwingine anashida kama yako!
[HASHTAG]#USHAURI[/HASHTAG]
Fungus tairi moja liweke uvunguni, hadi jumatatu ndipo ulifunge, halafu piga picha mrushie mwambie Fundi kaondoka na taili kuziba na simu yake haipatikan unamgonja arejeshe! Tena itapendeza zaidi ukimwambia kama anaweza pata tairi Kwa mda aje nalo afunge!..
 
Hiyo ndinga au mandinga ni aina gani?? Make kama ni Toyota hazina hadhi ya kuiywa ndinnga.. Toyota yoyote ile ni kijigari tu. hivyo kama umeombwa kijigari mpe tu akanyooshe mguu. Lakini kama ni NDINGA kweli usimpe hata kama ni ndugu yako.
Toyota Lexus lx 570 ina thamani kubwa kuliko range velar.
Hiyo ndinga au mandinga ni aina gani?? Make kama ni Toyota hazina hadhi ya kuiywa ndinnga.. Toyota yoyote ile ni kijigari tu. hivyo kama umeombwa kijigari mpe tu akanyooshe mguu. Lakini kama ni NDINGA kweli usimpe hata kama ni ndugu yako.
Toyota Lexus lx 570 ina thamani kubwa kuliko range velar.
 
ndinga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…