"Bebi niazime gari leo, nina mizunguko flani". Hiki kikombe mnakiepukaje wadau?

Panama tu na Hali yako huko uliko. Tushirikishane swala Kama tunfanyeje siku ya Maandamano
Wenye akil hua hatuandaman maana inapotokea vita mali zetu na biashara tutaziweka wap..hahahhah
..
 
Ndio had tufike mkuu.
 
Hyo gari aina gani isijekua IST mana prado hawez azima
Kwanza sipend prado,..hhhaha,..hii ni 18mil car bro,..hzo baby walker tulikua nazo miaka kadhaa nyuma sana,..hahhhaahah,..pole sana
 
HHahaha,nmecheka sana
 
We mkuda! Acha ushamba. Wewe hutoweza kuja kufanya biashara ya magari. Wenzako tunakamata Coaster ya milioni sabini na unamkabidhi dereva usiyemjua sembuse wewe kagari kako ka milioni saba ndio unakafanyia rohoo mbaaaya!
Ushasema gar ya biashara mjomba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…