J-MOE : Amani kwa kaka voda millionaire,waambie wadogo zako waache poda wale mmea.
LANGA(response) : Amani kwa kaka voda millionaire, mwambie mdogo wako aache ushoga na umbea.
LANGA(confession): Amani kwa kaka voda millionaire,mwambie Moe nimeacha kula poda pia sili mmea.

uyo kaka voda ni mtu anaishi????naomba kujuzwa
mkuu hivi beef ya Langa na Jaymoo ilisababishwa na nini hasa au ni baada ya Jaymoo kutaja majina ya ya wasanii wanaotumiaa Sembe??
Mi mwenyewe nilitaka kuuliza huyo kaka Voda millionaire ndio nani?? na kwa nini yeye ndo anatumwa kwenda kuwaambia hawa watu
yah hii kitu nipo aware nayo
mimi na ex-girl friend wangu
Sugu Vs Afande Selle
Chid Beenz Vs Prof J
Dully vs TID
Banza Stone vs Ally Choki
Khadija Kopa Vs Nasma Khamis
Mbaraka Mwinshehe vs Juma Kilaza
Gadna G vs Chid Benz
mzee tola vs wanawe
Kaka voda milionea ni drug dila pande za mikocheni(kin'goko)...nina info zake nyingi ila naogopa kupelekwa mabwe pnde
Hahahaahahaha ray c na zamaradi na kauye na cabby na neyonce na mwasiti na faudhia na janerose na linah na jaydee narecho na angel duh n.k n.k .nk list ndefu sana ya waliopo kwenye bifu kwa ajili ya bepari RUGEMARILA MUTAHABAZamaradi mketema VS ray c...wakimgombea ruge mutashobya mutahaba bepari la mziki wa bongo fleva
Mkuu hii beef ya Langa na na Fid Q mbona ndo kama naisikia hivi ilikuwaje kuwaje hii??
Mkuu hii beef ya Langa na na Fid Q mbona ndo kama naisikia hivi ilikuwaje kuwaje hii??
Hahahaahahaha ray c na zamaradi na kauye na cabby na neyonce na mwasiti na faudhia na janerose na linah na jaydee narecho na angel duh n.k n.k .nk list ndefu sana ya waliopo kwenye bifu kwa ajili ya bepari RUGEMARILA MUTAHABA