Beef Zilizowahi kutikisa tasnia ya Bongo Fleva

Beef Zilizowahi kutikisa tasnia ya Bongo Fleva

J-MOE : Amani kwa kaka voda millionaire,waambie wadogo zako waache poda wale mmea.

LANGA(response) : Amani kwa kaka voda millionaire, mwambie mdogo wako aache ushoga na umbea.

LANGA(confession): Amani kwa kaka voda millionaire,mwambie Moe nimeacha kula poda pia sili mmea.

uyo kaka voda ni mtu anaishi????naomba kujuzwa
 
wadau,baada ya J mo kumtoa mwanafa sikuwahi kusikia tena kollabo ya hawa jamaa,vipi nao walikuwa na beef
 
J-MOE : Amani kwa kaka voda millionaire,waambie wadogo zako waache poda wale mmea.

LANGA(response) : Amani kwa kaka voda millionaire, mwambie mdogo wako aache ushoga na umbea.

LANGA(confession): Amani kwa kaka voda millionaire,mwambie Moe nimeacha kula poda pia sili mmea.

uyo kaka voda ni mtu anaishi????naomba kujuzwa

Mi mwenyewe nilitaka kuuliza huyo kaka Voda millionaire ndio nani?? na kwa nini yeye ndo anatumwa kwenda kuwaambia hawa watu
 
Mkuu Mtamile hii bifu kwanza kabisa ilitokana na Langa kudaiwa kumuiga Mchopanga Jay moe na ndipo Langa akadai amuigi by then langa alikua anasoma CBE DODOMA bt alikua anakula powder kama kawa ila hali ilikua mbaya zaidi mwaka 2007 Jay Moe alipotoa nyimbo kama story 3 na Jipange akimwambia Langa aache unga mf kuna mistari inasema Amani kwa kaka voda milionea mwambie mdogo wako aache poda ale mmea na Langa akajibu ktk wimbo wake kwa kumwambia Jay moe aache ushoga na mmea. Ila bifu iliisha i think 2009. I ENDED HERE TO BE CORRECTED.

mkuu hivi beef ya Langa na Jaymoo ilisababishwa na nini hasa au ni baada ya Jaymoo kutaja majina ya ya wasanii wanaotumiaa Sembe??
 
Last edited by a moderator:
Navojua mkuu Hong25: baada ya Jay moe kumwambia Langa aache poda ale mmea Langa alimwambia Juma kuwa aache ushoga na mmea .
 
Last edited by a moderator:
Zamaradi mketema VS ray c...wakimgombea ruge mutashobya mutahaba bepari la mziki wa bongo fleva
Hahahaahahaha ray c na zamaradi na kauye na cabby na neyonce na mwasiti na faudhia na janerose na linah na jaydee narecho na angel duh n.k n.k .nk list ndefu sana ya waliopo kwenye bifu kwa ajili ya bepari RUGEMARILA MUTAHABA
 
Mkuu hii beef ya Langa na na Fid Q mbona ndo kama naisikia hivi ilikuwaje kuwaje hii??

Ilikua langa aitumie beat aliyoibiwa na fid katika ngoma yake ya mwisho mwisho inaitwa RAFIKI WA KWELI, fid akachukua akatoa SIHITAJI MARAFIKI, so dizain ni kama mpaka idea mtu aliibiwa.
 
Hahahaahahaha ray c na zamaradi na kauye na cabby na neyonce na mwasiti na faudhia na janerose na linah na jaydee narecho na angel duh n.k n.k .nk list ndefu sana ya waliopo kwenye bifu kwa ajili ya bepari RUGEMARILA MUTAHABA

daaah hii nayo ni hatari hii michepuko yote niya bepari la kihaya??1 unataka kusema kibonde alikuwa anamwambia Ruge abaki njia kuu??
 
Back
Top Bottom