Behind any frustrated man there is a woman

naona unachanganya mambo umesema kidemu na sio mke tofautisha vitu ivo viwili kaka mume na buzi vitu viwili tofauti sana


Mbona kawaida sana hii? Mimi kuna kidemu mashoga zake huwaga wananipigia simu sijui ndo kusuluhisha au vipi...hata sielewi. Lakini hakuna cha ajabu hapo.

Ila kinaweza kubisha tehtehteh
 


so the mother is a bicth now???????????
 
Hivi braza ulioa binadamu au ulioa malaika?

Why did you expected 100% kutoka kwa human being?
 

...UNTIL DEATH DO US APART......ikoje hii?
 
dah!
Yaani dada Rose kama ningalikuwa nimewahi kumtenda mbona ingekuwa droo ila sasa nimefungwa mzinga wa bao na sijui walianza lini
inauma sana!

ha ha ha ha!tengeneza PANCH ya vodca,valuu,viceroy,grants,ballantain

dah!

ha ha ha!
this is vere vere
halafu jamaa aliyejivinjari na my wife wangu ana mke mwaminifu saana. Namfahamu. She is very motherly ira ri mme rake ndo ivo tena linakula hadi vya wenzake.
i am advising you to revenge

NAENDELEA KUTAFAKARI NITAKUSHAURI BAADAE KIDOGO
 
Pole dunia ndivyo ilivyo,

pombe si siruhisho la matatizo yako acha itakupeleka pa baya
one ukiwa teja kwishn!
Acha kuamini na kukumbatia marafiki wa ajabu ajabu.

Pia acha kusimulia watu juu ya uzuri wa mkeo!

Muonye mkeo na umsamehe nauhakika hatarudia tena
 
huu sio ushauri kabisa
 

Nakubalianaga sana na wewe LD ila hapa naomba niseme kwamba mwanamke hutakiwi kucheat kabisa kama umeshaolewa na una watoto kwani huyo mume uliolewa nae hukulazimishwa ulimpenda mwenyewe tena sometimes kwa kujibebesha mimba.

NOTE:
Mwanamke ni nadra sana kungonoka na mbaba/kaka asiempenda mara nyingi anakua amempenda ndio maana anafikia hatua ya kugalagazana nae 5 x 6 ila kwa wanaume (siwatetei) ye anaweza hata kulala na mdada asiempenda mradi tu atii kiu yake. huyo dada hafai tena na best friend wa mumewe mwe!
 
we acha kina mama tuna kazi si mchezo

chauro darling mwanamama hutakiwi kucheat ni tabia mbaya jamaa uko juu kasema alikua mpaka anampigisha kigelegele mkewe sasa huyo mmama alikua anatoka kutafuta nini uko nnje labda baba alikua mwanamme suruale
 

Yawezekana kaanguka tu kwenye majaribu dada, hata na yeye ni binadamu,

Hivi anaweza akastahili kusamehewa????
 
maty nakubaliana na wewe na pia sikubaliani na wewe ivi kweli alikuwa ana communicate na mkewe kujua ana mridhisha au alikuwa anassume kwamba kwa kufanya hayo ndo kamaliza sitetei kucheat hata kidogo lakini mimi bado naamini kwamba mwanamke mara nyingi inakuwa ngumu sana kutembea nje ya ndoa lazima kuna sababu ambayo siwezi kuitetea bado huyu mama anahitaji msamaha embu fikiri wanawake wanaona mangapi na si mara moja bado tunasamehe na kujenga nyumba zetu kwanini kosa moja la mama lisiwe na msamaha

chauro darling mwanamama hutakiwi kucheat ni tabia mbaya jamaa uko juu kasema alikua mpaka anampigisha kigelegele mkewe sasa huyo mmama alikua anatoka kutafuta nini uko nnje labda baba alikua mwanamme suruale
 

Rose, I love you....
 

Na mimi hicho ndicho kilio changu Chauro, Kwa nini huyu mama asipewe nafasi ya kusamehewa??
IKiwa mwanaume akianguka tunaweza tukamsamehe na maisha yakaendelea??

Kwa nini mama huyu asisamehewe??
 
yani huwa nasikitika sababu nimeona mdau mmoja tayari kamuita bit..ch wife sasa nashindwa kuelewa mbona tunabeba misalaba mizito na migumu sana na hata saa nyingine tunakimbizana kutafuta ada za watoto pamoja bila ya wao kujali mipaka yetu iko wapi tunapata kiasi gani na kupendeza kwetu wana mchango gani

Na mimi hicho ndicho kilio changu Chauro, Kwa nini huyu mama asipewe nafasi ya kusamehewa??
IKiwa mwanaume akianguka tunaweza tukamsamehe na maisha yakaendelea??

Kwa nini mama huyu asisamehewe??
 
Yawezekana kaanguka tu kwenye majaribu dada, hata na yeye ni binadamu,

Hivi anaweza akastahili kusamehewa????

hapa umenena mwaya sasa nimekuelewa
 
hapa umenena mwaya sasa nimekuelewa

Au inawezekana hi tabia ya uzinzi sijui Infid.... shetani aliivumbua kwa ajili ya wanaume tu??

So mwanamke akiivamia/ au ikikukuta inakuwa mbaya sana??

Hata nikifikiria hivo bado napata swali kwani hao wanaume si wanafanya na wanawake??

Mmmmmh, ombi langu huyu mama asamehewe tu.
 


Kunya anye KUKU akinya BATA Kahara, patamu hapo.......
 
Hapo ndipo ninapowafagilia wapemba hawataki utani na wake zao, na dini zimesema mke wa mtu ni haramu kukaa, kugusana au kupeana mikono na mtu ambae si kakayake wa kuzaliwa, baba yake mzazi, ama ndugu wa baba.

Na hapa inaonekana wewe ndio chanzo cha tatizo ulipoanza ulevi na ulipomfundisha panya kula sufi.

Wanawake ni watu dhaifu sana ni rahisi kudanganywa kwa vitu vidogo sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…