Behind the curtain: September 11

Behind the curtain: September 11

Kazi nzuri mkuu the Bold,this time atakaeicopy kwenye gazeti lako bila ruhusa mpeleke mahakamani tu akakulipe,hata kama kuna source umeitoa ila kuianalyse hivi ni kazi ya ziada,inayohitaji akili kubwa.lazima ufaidike nayo
 
Shukrani sana mkuu..
Kabisa this time hakuna kucheka nao moja kwa moja kwa court tukamalizane..
 
Mwandishi Prof Michel Chossudovsky wa Global Research ameeleza vizuri sana kwenye kitabu chake kinachoitwa America’s “War on Terrorism”.

Amejaribu kuonyesha ni kwa jinsi gani America inavyotengeneza picha mbele ya uso wa dunia kama hizi Terror Groups ni maadui zake lakini behind the scene wao ndiyo wamezicreate hizi groups for their benefits.

Kwenye hii kitabu ameeleza mpaka siku chache kabla ya tukio la September 11 kuwa Osama alikuwa Abu Dhabi hospitalini akipata matibabu na CIA walikuwa wanafahamu alipo. So kimsingi Al-Qaida is a creation of CIA.
Thanks for sharing..
 
Back
Top Bottom