Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shukrani mkuu..Story nzuri sana nakupa hongera sana.
Shukrani sana mkuu..Kazi nzuri mkuu the Bold,this time atakaeicopy kwenye gazeti lako bila ruhusa mpeleke mahakamani tu akakulipe,hata kama kuna source umeitoa ila kuianalyse hivi ni kazi ya ziada,inayohitaji akili kubwa.lazima ufaidike nayo
Shukrani sana chief..Always so perfect.Mungu akupe maisha marefu
Ina fanana na series ya Homeland ya jamaa anaitwa sergeant broodyKama naangalia movie aiseee
Ni moja ya series yangu bora kabisa.. Ile kitu na hatari aisee!Ina fanana na series ya Homeland ya jamaa anaitwa sergeant broody
Hahaha.. Mie hiyo sichoki kuitazama ninayo zoteNi moja ya series yangu bora kabisa.. Ile kitu na hatari aisee!
Pamoja sana mkuu..@thebold usichoke kutufunza ulimwengu unavyoendeshwa na wachache
Ile hata uiangalie kila siku huwezi kuichoka..Hahaha.. Mie hiyo sichoki kuitazama ninayo zote
Thanks for sharing..Mwandishi Prof Michel Chossudovsky wa Global Research ameeleza vizuri sana kwenye kitabu chake kinachoitwa America’s “War on Terrorism”.
Amejaribu kuonyesha ni kwa jinsi gani America inavyotengeneza picha mbele ya uso wa dunia kama hizi Terror Groups ni maadui zake lakini behind the scene wao ndiyo wamezicreate hizi groups for their benefits.
Kwenye hii kitabu ameeleza mpaka siku chache kabla ya tukio la September 11 kuwa Osama alikuwa Abu Dhabi hospitalini akipata matibabu na CIA walikuwa wanafahamu alipo. So kimsingi Al-Qaida is a creation of CIA.
Ndio inavyotakiwa kuwa..Sasa mkuu bold,hii ishakuwa series .
Leo hii mkuu..The bold sehemu ya 11 utaitupia lini?