Nyie Wakenya washamba sana, station inawekwa kulingana na eneo lenyewe. Huwezi kuweka station kubwa kijiji chenye watu 200! Kwa kuonesha jinsi mlivyo washamba kwenu nyinyi kitu modern ni kilichojengwa na vioo, mnasikitisha sana. Angalia hii train station UK na reli hii inatoka London hadi Wales huko.
View attachment 1027135
View attachment 1027137
Haya ma inzi yanachojua ni kushinda chooni tu,hakuna kingine yanaelewa.
Jengeni Kibera, train stations mmepata chaka tu la kuiba kama kawaida yenuJengeni Train stations achana vibanda vya kuku....Ushamba utuwamaliza
Jengeni Dar is slum.Jengeni Kibera, train stations mmepata chaka tu la kuiba kama kawaida yenu
Dar imeijenga Jf mtakuja shule ya msingi
Mturuki reli anaitandika na mikono alafu mnasema professional bla bla....akuje apewe darasa na mchina aache kutia aibu
Binafsi sina shida na station kua ndogo shida ni vile mlikuwa mnakesha mkiwa na kina icheoboy mkisema stations zenyu zitakua futuristic bla bla....sasa ebu ona aibu sasa mumejengewa mabanda ya kuku......Mimi na ngoja bullet train ije kama Mlivo sema na tutakua hapa hapa kuwaonyesha bullet train nini haswaa [emoji3][emoji3][emoji3]Haya ma inzi yanachojua ni kushinda chooni tu,hakuna kingine yanaelewa.
And still ya Mturuki ya mkono itapitisha treni at over 160km/h while ya Mchina kwa machine 80 km/h! 😅😭Mturuki reli anaitandika na mikono alafu mnasema professional bla bla....akuje apewe darasa na mchina aache kutia aibuView attachment 1027924
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani kwao mturuki akijenga hatumii mikono lakini kwa ldc ndio anatumia mikono,shamba la Bibi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hio reli ni poor quality atamsemeje[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]na kadri muda unavo enda tunaendelea kuona cheapness [emoji1787][emoji1787]And still yards Mturuki ya mkono itapitisha treni at over 160km/h while ya Mchina kwa machine 80 km/h! [emoji28][emoji24]
Binafsi sina shida na station kua ndogo shida ni vile mlikuwa mnakesha mkiwa na kina icheoboy mkisema stations zenyu zitakua futuristic bla bla....sasa ebu ona aibu sasa mumejengewa mabanda ya kuku......Mimi na ngoja bullet train ije kama Mlivo sema na tutakua hapa hapa kuwaonyesha bullet train nini haswaa [emoji3][emoji3][emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani kwao mturuki akijenga hatumii mikono lakini kwa ldc ndio anatumia mikono,shamba la Bibi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hio reli ni poor quality atamsemeje[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]na kadri muda unavo enda tunaendelea kuona cheapness [emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahio kuweka reli kwa mkono ndio unaona sio professional? Rolls Royce mpaka leo wanatengeneza vitu vingi kwa mkono na wanaamini ndio kinakuwa bora zaidi. Man made is better than machine made. Kama unaweka na mkono unamaliza within schedule na within budget kuna tatizo gani?Mturuki reli anaitandika na mikono alafu mnasema professional bla bla....akuje apewe darasa na mchina aache kutia aibuView attachment 1027924
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe kilaza unawajua Yepi Merkezi au unaropoka tu humu mitandaoni?! Kampuni imejenga hadi Dubai Metro wewe kilaza unawakashifu! Kweli Wakenya wajuaji.Wadanganyika hawajui Mchina ndiye anayejenga reli kule Uturuki alafu naye anakuja Tz kujifunza kujenga pia...yani tanzagiza ni lab rat wa UTURUKI.
Hawa jamaa vichwa maji kweli kweli. Wanaona ufahari kutanduikiwa reli kwa mashine huku reli hio haiwezi kuhimili mikimikiki ya fast train, wenzao wanafungiwa reli ya mwendokasi kwa mkono wanaona haifai!And still yards Mturuki ya mkono itapitisha treni at over 160km/h while ya Mchina kwa machine 80 km/h! 😅😭
Yaani kwa akili yako reli ni ya kucompare na luxury products kama rolls Royce ama Gucci's bags[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]midudumu ya ccm ni kama ilirogwa aiseeKwahio kuweka reli kwa mkono ndio unaona sio professional? Rolls Royce mpaka leo wanatengeneza vitu vingi kwa mkono na wanaamini ndio kinakuwa bora zaidi. Man made is better than machine made. Kama unaweka na mkono unamaliza within schedule na within budget kuna tatizo gani?