Behold! The best railway in Africa!

Behold! The best railway in Africa!

Nyie Wakenya washamba sana, station inawekwa kulingana na eneo lenyewe. Huwezi kuweka station kubwa kijiji chenye watu 200! Kwa kuonesha jinsi mlivyo washamba kwenu nyinyi kitu modern ni kilichojengwa na vioo, mnasikitisha sana. Angalia hii train station UK na reli hii inatoka London hadi Wales huko.
View attachment 1027135
View attachment 1027137

Wengi wao utawajua hapa hapa ni weupe🤣 hizo station za Soga na Pugu zipo Sawa kabisa. Waache kuosha vinywa.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Geza Ulole wacha kutupa picha za close up tunataka aeriel tuweze kuona zizi la ng'ombe na hio drainage trench...bure kabisa
 
Mturuki reli anaitandika na mikono alafu mnasema professional bla bla....akuje apewe darasa na mchina aache kutia aibu
tapatalk_1537469109226.gif

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya ma inzi yanachojua ni kushinda chooni tu,hakuna kingine yanaelewa.
Binafsi sina shida na station kua ndogo shida ni vile mlikuwa mnakesha mkiwa na kina icheoboy mkisema stations zenyu zitakua futuristic bla bla....sasa ebu ona aibu sasa mumejengewa mabanda ya kuku......Mimi na ngoja bullet train ije kama Mlivo sema na tutakua hapa hapa kuwaonyesha bullet train nini haswaa [emoji3][emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
And still yards Mturuki ya mkono itapitisha treni at over 160km/h while ya Mchina kwa machine 80 km/h! [emoji28][emoji24]
Yaani kwao mturuki akijenga hatumii mikono lakini kwa ldc ndio anatumia mikono,shamba la Bibi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hio reli ni poor quality atamsemeje[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]na kadri muda unavo enda tunaendelea kuona cheapness [emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Binafsi sina shida na station kua ndogo shida ni vile mlikuwa mnakesha mkiwa na kina icheoboy mkisema stations zenyu zitakua futuristic bla bla....sasa ebu ona aibu sasa mumejengewa mabanda ya kuku......Mimi na ngoja bullet train ije kama Mlivo sema na tutakua hapa hapa kuwaonyesha bullet train nini haswaa [emoji3][emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app

Aisee mkenya ni mdudu wa ajabu!!!kwahiyo aibu unayoina hapo inasababishwa na nini labda!!!

Unazo picha za usanifu za hicho kituo?????
 
Yaani kwao mturuki akijenga hatumii mikono lakini kwa ldc ndio anatumia mikono,shamba la Bibi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hio reli ni poor quality atamsemeje[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]na kadri muda unavo enda tunaendelea kuona cheapness [emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app

Hiyo siku uone train ya kwanza ya speed tz,utakunya ukitembea aisee,sio kwa usongo huu.
 
Wadanganyika hawajui Mchina ndiye anayejenga reli kule Uturuki alafu naye anakuja Tz kujifunza kujenga pia...yani tanzagiza ni lab rat wa UTURUKI.
 
Mturuki reli anaitandika na mikono alafu mnasema professional bla bla....akuje apewe darasa na mchina aache kutia aibuView attachment 1027924

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahio kuweka reli kwa mkono ndio unaona sio professional? Rolls Royce mpaka leo wanatengeneza vitu vingi kwa mkono na wanaamini ndio kinakuwa bora zaidi. Man made is better than machine made. Kama unaweka na mkono unamaliza within schedule na within budget kuna tatizo gani?
 
Wadanganyika hawajui Mchina ndiye anayejenga reli kule Uturuki alafu naye anakuja Tz kujifunza kujenga pia...yani tanzagiza ni lab rat wa UTURUKI.
Wewe kilaza unawajua Yepi Merkezi au unaropoka tu humu mitandaoni?! Kampuni imejenga hadi Dubai Metro wewe kilaza unawakashifu! Kweli Wakenya wajuaji.

In May 2005, a AED 12.45 billion/US$3.4 billion design and build contract was awarded to the Dubai Rail Link (DURL) consortium made up of Japanese companies including Mitsubishi Heavy Industries, Mitsubishi Corporation, Obayashi Corporation, Kajima Corporation and Turkish firm Yapı Merkezi,[18] and the Project Management ('The Engineer') and Construction Management services contract awarded to a French-American joint venture between Systra and Parsons Corporation. The first phase (worth AED 15.5 billion/US$4.2 billion) covers 35 kilometres (22 mi) of the proposed network, including the Red Line between Al Rashidiya and the Jebel Ali Free Zone[19] set for completion by September 2009[20] and the Green Line from Al Qusais 2 to Al Jaddaf 1. This was to be completed by June 2010.[21] A second phase contract was subsequently signed in July 2006 and includes extensions to the initial routes. The Red Line partially opened at 9 minutes and 9 seconds past 9 pm on 9 September 2009 (9/9/9 9:9:9), inaugurated by Sheikh Mohammed bin Rashid al Maktoum.[22]
 
And still yards Mturuki ya mkono itapitisha treni at over 160km/h while ya Mchina kwa machine 80 km/h! 😅😭
Hawa jamaa vichwa maji kweli kweli. Wanaona ufahari kutanduikiwa reli kwa mashine huku reli hio haiwezi kuhimili mikimikiki ya fast train, wenzao wanafungiwa reli ya mwendokasi kwa mkono wanaona haifai!
 
Kwahio kuweka reli kwa mkono ndio unaona sio professional? Rolls Royce mpaka leo wanatengeneza vitu vingi kwa mkono na wanaamini ndio kinakuwa bora zaidi. Man made is better than machine made. Kama unaweka na mkono unamaliza within schedule na within budget kuna tatizo gani?
Yaani kwa akili yako reli ni ya kucompare na luxury products kama rolls Royce ama Gucci's bags[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]midudumu ya ccm ni kama ilirogwa aisee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom