NDINDA
Platinum Member
- Apr 4, 2011
- 10,572
- 48,607
Nyie Wakenya washamba sana, station inawekwa kulingana na eneo lenyewe. Huwezi kuweka station kubwa kijiji chenye watu 200! Kwa kuonesha jinsi mlivyo washamba kwenu nyinyi kitu modern ni kilichojengwa na vioo, mnasikitisha sana. Angalia hii train station UK na reli hii inatoka London hadi Wales huko.
View attachment 1027135
View attachment 1027137
Wengi wao utawajua hapa hapa ni weupe🤣 hizo station za Soga na Pugu zipo Sawa kabisa. Waache kuosha vinywa.
Sent from my iPhone using JamiiForums