Behold! The best railway in Africa!

Behold! The best railway in Africa!

We don't want renders. People can draw anything to fool you. Show us the real stations. Our smaller stations look good. Look at Suswa station under construction, can you compare it with that shit of yours?

1875585.jpg
Usijali ndugu after two years watavunja na kujenga vikubwa tumeshazoea ni kama brt ubungo unajenga hata miaka 3 hajaifika unavunja una weka fly over utafikiri hamna mipango

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakenya wapo sahihi sana kwenye hili. Station ya Soga ilitakiwa iwe kubwa na ya kisasa zaidi kwani ina represent mkoa mzima wa Pwani, mkoa ambao ni unofficial Industrial region ya Tanzania.

Viwanda vingi sana vinajengwa mkoa wa Pwani na vingi zaidi vitajengwa si mbali sana na Soga, hicho ki station kama boksi karne hii hakifai kabisa. Designers wetu ni bogus kabisa.

Station ya Soga in a very near future itakuwa busy kuliko ya Dar kwa sababu Dar hakuna expansion ya jiji, expansion yoyote itaelekea magharibi ya Dar. Miaka 20 ijayo Soga station itakuwa katikati ya metropolis.

Watanzania tupo kama kipofu aliyeona punda.
Kuna uzi humu watu walipigia kelele sana vituo havivutii kabla hata mradi haujafika mbali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
You need to ask yourself what is the distance between Nairobi and Mombasa and also what's the distance between Dar and Dar?

Sent using Jamii Forums mobile app
Tembea ujionee acheni kushinda kwenye fulusuti zenu hizo na kupata habari za kuambiwa tu, kama mizigo inaishia dar basi hata barabara za ku link na nchi nyingine zisingejengwa
 
Correct.
Na itabeba hii mizigo kwa miaka 100.
Kumbuka hata project yote ya SGR bado haijafika nusu.
sasa mnavyolia na ile stesheni kwani nayo imemalizika?? basi utaniambia sio white elephant baada ya hio miaka 100 ila kwa sasa kila mmoja abaki na lake analojionea
 
Back
Top Bottom