Behold! The best railway in Africa!

Behold! The best railway in Africa!

Kenya Vs Danganyika
tapatalk_1550743281111.jpeg
tapatalk_1550743292004.jpeg
tapatalk_1537469109226.gif

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kilometre 1300 reli inapangwa kwa mikono na vijiti...

Tutakuwa na stesheni bora africa... tutakua na continous rail.. tuta.. tuta...tuta. Siku zinazidi kupita tuone hizi tuta kama zitafanyika.

Lakini mbona wanainchi wanaongea kama hii reli ni ya JPM? Deni ni hao hao watalipa
 
Yaani kwa akili yako reli ni ya kucompare na luxury products kama rolls Royce ama Gucci's bags[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]midudumu ya ccm ni kama ilirogwa aisee

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe akili zako kweli fupi. Niambie kwanini unafikri reli iliotandikwa kwa mashine ni bora kuliko iliotandikwa kwa mkono? Uko ndani ya box ndio maana umechukua mfano kama kielelezo cha kila kitu. Haya reli za UK zimetandikwa kwa mkono 100yrs ago unaweza kulinganisha na hio mchina wenu?
 
Ni aibu kubwa sana kujenga reli ukitumia methods za 1800s na tuko 2019...... technology ilikuja kupunguza kazi wacheni upumbavu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni aibu kubwa sana kujenga reli ukitumia methods za 1800s na tuko 2019...... technology ilikuja kupunguza kazi wacheni upumbavu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe uko ndani ya box na una upumbavu wa hali ya juu. Kufunga reli kunaweza kuwa kwa mikono au mashine, mjenzi anachagua. Kama ambavyo nyinyi mmeamua kufunga reli ambayo haitumii umeme kwa mashine. Reli iliofungwa kwa mkono itapitisha treni ya kisasa ya umeme(rafiki wa mazingira) ila reli iliofungwa kwa mashine inapitisha treni ya mafuta ya mwaka 70s.

Tumetumia 1800s method ku-implement new generation electrictrains,nyinyi mmetumia 2100 method to implement 1960s train.
 
Kibanda cha mboga.[emoji23][emoji23]View attachment 1026847

Sent using Jamii Forums mobile app
Have you ever consider looking at the scale on those two pictures to see who big they are?
Hint: Use two construction workers found on both pictures as a scale.

I'm not biased but look at the two, they are still under construction but moja inajengwa in a more quality way than the other.View attachment 1026859View attachment 1026860

Sent using Jamii Forums mobile app

How do you quantify quality on those buildings, by looking at them?
 
Yaani kwa akili yako reli ni ya kucompare na luxury products kama rolls Royce ama Gucci's bags[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]midudumu ya ccm ni kama ilirogwa aisee

Sent using Jamii Forums mobile app

Angalia nguruwe pori hii[emoji23][emoji23][emoji23].

Nini sasa hii umeandika???hiyo gharama ya ujenzi wa hii rail ni sawa na royce ngapi???acha ujinga umeacha watoto nyumbani.
 
Viwanda vingi sana vinajengwa mkoa wa Pwani na vingi zaidi vitajengwa si mbali sana na Soga, hicho ki station kama boksi karne hii hakifai kabisa. Designers wetu ni bogus kabisa.

Station ya Soga in a very near future itakuwa busy kuliko ya Dar kwa sababu Dar hakuna expansion ya jiji, expansion yoyote itaelekea magharibi ya Dar. Miaka 20 ijayo Soga station itakuwa katikati ya metropolis.
Watanzania tupo kama kipofu aliyeona punda.

Dada Faiza you nailed it, i said this before that many of our stations are poorly and awkwardly designed they actually belong to many decades ago than now. On stations we have been largely outsmarted by our northern neighbours.

Hivi mnaelewa kuwa hapo pwani kutakuwa na kituo kikubwa cha bandari kavu (yaani treni ya mizigo itaanzia hapo).

kutokana na uhitaji mdogo wa abiria eneo husika hawahitaji jengo kubwa. Hapo pwani kuna vituo viwili, pugu na soga... vinatosha. Watu walishafanya feasibility study toka miaka ya 9o kuhusu hiyo SGR, nyie mnadakia tuu mambo bila hata kujua kinaga ubaga maradi wenyewe ukoje.
 
You don't even seem to understand the implications of capital intensive vs labor intensive work.

Tz did not spend dollars to import Chinese but struck a balance to employ youth.

Endelea kucheka!
Achana na mamburula hawajui JPM chose more jobs over machines!
 
Yaani kwao mturuki akijenga hatumii mikono lakini kwa ldc ndio anatumia mikono,shamba la Bibi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hio reli ni poor quality atamsemeje[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]na kadri muda unavo enda tunaendelea kuona cheapness [emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app

Sababu ilikuwa ni kuinua uchumi wa maeneo husika ndiyo maana unaona kuna watu wengi wanaotumia mikono badala ya mashine kubwa. Msemo (slogan) wa ujenzi wa SGR unasema "ni reli yetu". Yaani wananchi wote, wenye elimu na wasio na elimu, mama lishe na mafundi mchundo nk wote wanashirikishwa moja kwa moja katika kula keki ya Taifa.

Tanzania kila kitu kinapangwa, hatukurupuki.
 
Lakini hiki kibanda!!!![emoji849][emoji849][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
tapatalk_1550809965852.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom