Bottas
JF-Expert Member
- Jan 2, 2018
- 1,817
- 1,142
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunaambiwa eti elektriki esijiiara.Kenya Vs DanganyikaView attachment 1028047View attachment 1028048View attachment 1028049
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe akili zako kweli fupi. Niambie kwanini unafikri reli iliotandikwa kwa mashine ni bora kuliko iliotandikwa kwa mkono? Uko ndani ya box ndio maana umechukua mfano kama kielelezo cha kila kitu. Haya reli za UK zimetandikwa kwa mkono 100yrs ago unaweza kulinganisha na hio mchina wenu?Yaani kwa akili yako reli ni ya kucompare na luxury products kama rolls Royce ama Gucci's bags[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]midudumu ya ccm ni kama ilirogwa aisee
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni aibu kubwa sana kujenga reli ukitumia methods za 1800s na tuko 2019...... technology ilikuja kupunguza kazi wacheni upumbavu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wewe akili zako kweli fupi. Niambie kwanini unafikri reli iliotandikwa kwa mashine ni bora kuliko iliotandikwa kwa mkono? Uko ndani ya box ndio maana umechukua mfano kama kielelezo cha kila kitu. Haya reli za UK zimetandikwa kwa mkono 100yrs ago unaweza kulinganisha na hio mchina wenu?
Electric esijiara[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mazee, duh, mpo desperate sana, tulizeni mshono, hiyo ni warehouse tu, hapo hata fence hawajaweka.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe uko ndani ya box na una upumbavu wa hali ya juu. Kufunga reli kunaweza kuwa kwa mikono au mashine, mjenzi anachagua. Kama ambavyo nyinyi mmeamua kufunga reli ambayo haitumii umeme kwa mashine. Reli iliofungwa kwa mkono itapitisha treni ya kisasa ya umeme(rafiki wa mazingira) ila reli iliofungwa kwa mashine inapitisha treni ya mafuta ya mwaka 70s.Ni aibu kubwa sana kujenga reli ukitumia methods za 1800s na tuko 2019...... technology ilikuja kupunguza kazi wacheni upumbavu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Jengeni Kibera, train stations mmepata chaka tu la kuiba kama kawaida yenu
Hivi simlisema ikijengwa iyo reli mnakalia sime? 😀 😀 😀 Hasa inajengwa mnataka nn zaidiKenya Vs DanganyikaView attachment 1028047View attachment 1028048View attachment 1028049
Sent using Jamii Forums mobile app
Have you ever consider looking at the scale on those two pictures to see who big they are?
I'm not biased but look at the two, they are still under construction but moja inajengwa in a more quality way than the other.View attachment 1026859View attachment 1026860
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani kwa akili yako reli ni ya kucompare na luxury products kama rolls Royce ama Gucci's bags[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]midudumu ya ccm ni kama ilirogwa aisee
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi simlisema ikijengwa iyo reli mnakalia sime? 😀 😀 😀 Hasa inajengwa mnataka nn zaidi
Sent using Jamii Forums mobile app
Electric esijiara[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kenya Vs DanganyikaView attachment 1028047View attachment 1028048View attachment 1028049
Sent using Jamii Forums mobile app
Viwanda vingi sana vinajengwa mkoa wa Pwani na vingi zaidi vitajengwa si mbali sana na Soga, hicho ki station kama boksi karne hii hakifai kabisa. Designers wetu ni bogus kabisa.
Station ya Soga in a very near future itakuwa busy kuliko ya Dar kwa sababu Dar hakuna expansion ya jiji, expansion yoyote itaelekea magharibi ya Dar. Miaka 20 ijayo Soga station itakuwa katikati ya metropolis.
Watanzania tupo kama kipofu aliyeona punda.
Dada Faiza you nailed it, i said this before that many of our stations are poorly and awkwardly designed they actually belong to many decades ago than now. On stations we have been largely outsmarted by our northern neighbours.
Achana na mamburula hawajui JPM chose more jobs over machines!You don't even seem to understand the implications of capital intensive vs labor intensive work.
Tz did not spend dollars to import Chinese but struck a balance to employ youth.
Endelea kucheka!
Yaani kwao mturuki akijenga hatumii mikono lakini kwa ldc ndio anatumia mikono,shamba la Bibi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hio reli ni poor quality atamsemeje[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]na kadri muda unavo enda tunaendelea kuona cheapness [emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Lakini hiki kibanda!!!![emoji849][emoji849][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]Sababu ilikuwa ni kuinua uchumi wa maeneo husika ndiyo maana unaona kuna watu wengi wanaotumia mikono badala ya mashine kubwa. Msemo (slogan) wa ujenzi wa SGR unasema "ni reli yetu". Yaani wananchi wote, wenye elimu na wasio na elimu, mama lishe na mafundi mchundo nk wote wanashirikishwa moja kwa moja katika kula keki ya Taifa.
Tanzania kila kitu kinapangwa, hatukurupuki.
Ukilinganisha na nini?Lakini hiki kibanda!!!![emoji849][emoji849][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]View attachment 1028657
Sent using Jamii Forums mobile app